Ndugu nisaidie elimu ya kutengeneza aina hyo ya sabuni
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Ndugu nisaidie elimu ya kutengeneza aina hyo ya sabuni
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
ndugu nakupa big up sana kwa ujasiriamali huu. Cha nyumbani ndio chenyewe hasaaaaaaaaaa Ntakutafuta aisee. Mi mdau sana wa hizi ndude
Mbona rahisi sana,chukua mafuta ya kula lita 100,chukua na nyama kilo 50 na mchele 100 upike pilau ukishiba uende sido ukasomee.
- Halafu uzuri wa hizi sabuni zina povu jingi sana.
- Kwa watu wanao tumia maji ya chumvi yasiyo kolea sabuni hii sabuni ni kiboko yake.
Mbona rahisi sana,chukua mafuta ya kula lita 100,chukua na nyama kilo 50 na mchele 100 upike pilau ukishiba uende sido ukasomee.
Ukiwa unavuka hapa Kigamboni hoyp 2,000/= ndio bei ya reja reja pia,Mimi ni mjasiriamali mdogo wa kutengeneza sabuni za mawingu au magadi za kigoma. Nimetengeneza sabuni nyingi na sasa natafuta soko kwa anayehitaji kwa matumizi ya nyumbani au hata kuuza dukani kwake. Sabuni ni nzuri kwa kuogea, kufulia na kuoshea vyombo. Bei ya rejareja mche mmoja ni shs.2,000. Bei ya jumla cartoon miche 20 shs.34,000. Kwa mahitaji tafadhali nipigie No.0767 972010
duhMbona rahisi sana,chukua mafuta ya kula lita 100,chukua na nyama kilo 50 na mchele 100 upike pilau ukishiba uende sido ukasomee.