Kwani SABODO yuku wapi kwa sasa unafikiri kuwa CDM mpaka aweje?hizi ni hadaa za Sabodo.kama anaona ccm haimjali kwa nini asjiunge chadema?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
unajua kwamba Sabodo ni mwanaccm hai?CCM ni majambazi 2 hamna ki2.
Shardcole@Tabora1.
hizi ni hadaa za Sabodo.kama anaona ccm haimjali kwa nini asjiunge chadema?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
sio lazima ahamie chadema.kama ccm haimfai basi arudishe kadi na akae bila chama.Hivi wewe ukimsaidia jirani yako chumvi unahamia kwake?
Hivi wewe ukimsaidia jirani yako chumvi unahamia kwake?
sio lazima ahamie chadema.kama ccm haimfai basi arudishe kadi na akae bila chama.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
wewe umeenda kumuuliza akakwambia yeye sio mwanachama wa ccm?Kwani umeenda kumuuliza akakwambia bado ni mwanachama wa CCM?
hizi ni hadaa za sabodo.kama anaona ccm haimjali kwa nini asjiunge chadema?
Kwa hisani ya mtu wa tanzania
unajua kwamba Sabodo ni mwanaccm hai?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Neno kuntu hili kichomiz.
Utaifa kwanza, aandike kwenye will kabisa asije akavuta before utekelezaji. Ule mradi wake wa kujenga parking dar sijui umefikia wapi?
wewe umeenda kumuuliza akakwambia yeye sio mwanachama wa ccm?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
ndio ujumbe aliotaka kutupa bwana shardcoleSo logically Sabodo ni Mwizi.. . Mnh!
siku zote kinachojibiwa ni swali.....au ?Sasa hapo umejibu nini?
CCM ni majambazi 2 hamna ki2.