Sabodo anapendelea CHADEMA - Kuchimba Visima

Status
Not open for further replies.
ivi ukiwa ccmmm unalogwa nini, mbona hata profesa akishakuwa ccm ni lazima uwe na akili ya kimbuzi mbuzi kuna nini, poleni, profesa mzima unaongea utahira, au unaogopa kunyang"anywa wizara isiyo na kazi maalumu, shame on u
 
ivi ukiwa ccm unalogwa nini, kwanini hata profesa akiwa ccm tu lazima awe na nawazo ya kimbuzi mbuzi
 
unaposikia jina profesa usifikiri kila unaemuona ameelimika huyo bwana kwanza ajitambue anatumikia watu gani ,na dhamana aliyo nayo leo asiitumie vibaya kuwanyima raia mahitaji yao ya msingi ,na chama fulani ,ukipata mtu kama sabodo tanzania hii watu 10 ,tatizo la maji lingekuwa historia namuunga mkono sana kwa juhudi zake kwa wananchi bila kujali itikadi zao namtafuta nasisi tupate kisima cha maji angalau kimoja kijijini kwetu .
 
Kurudisha hivyo visima kwa waziri wa maji wa serikali ya ccm ni sawa na kuipa ccm haina tofauti, wanataka chadema wawape serikali halafu ccm wajigambe kwa wananchi kuwa ni juhudi zao kama walivyozoea kudanganya kwa ile miradi iliyotekelezwa kwa kodi za wananchi wao hudai ccm ndio wamewezesha!
 
mkuu ungefunguka kidogo, mwandosya amesema wapi na lini? na hiyo figure ya visima mia kwa mwandosya ni sahihi?
 
amesemaje.?

alisema kuna mbunge wa chama kimoja hakukitaja alipewa visima 200 (na Sabodo) akavigawa kwenye majimbo ya hiko chama. Ila yeye kapewa visima 100 atavigawa kwa watanzania bila kubagua! Ndo nlivoskia mimi
 
Huku ni kufilisika,waziri anamtwisha mtu binafsi kazi ya serikali daaa na ana diliki kulalamika...
 
Pengine kafilisika kidogo mawazo profesa wetu aliugua muda mrefu....Mhs.Sabodo ni mfano wa kuigwa wa Taifa hili! Hakuna awezae kumchafua
 
Lakini mkumbuke sabodo ni ccm anawapa chadema kuna agenda ya Siri au NAyo tuite ndoa chiki ya chadema ni kikwete
 

Huyu na Mwakyembe wamekuwa janga kwa wanambea!! wamegeuka wanafiki mno!! baada ya kulambishwa vyeo...pambaff syao!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…