Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,395
Kuna haja ya kujifunza kusafiria ungo! Duh!
RIP marehemu, hii kampuni ya sabena mwenzi wa 7 au 8 hivi iliua watu karibia 1o ikielekea mbeya, tukaambiwa imefungiwa na mmiliki kakamatwa, hivi ilifungiwa mbeya tu au kote na kama ni maeneo yote iliruhusuwa lini?