Wadau heshima kwenu, naomba msaada, mwaka jana mwanzoni nilikuwa napata channel za South africa SABC1,2,3 & eTV local for free, baadaye nikawa sizipati tena, kuna fundi alikuja akasema nifunge RNB ya pili kwenye dish yangu lkn bado haikusaidia, je kuna mwenye ufahamu anisaidie jinsi ya kuendelea kuzipata?