SABC washangaa Rais Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake

SABC washangaa Rais Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake

Polepole nae majuzi kasema ili kuwa hata kama hamna tamko la Serikali kuthibitisha kama Tonny ni mshauri wetu lakini hatufai.

Polepole na waumini wenzie wa NYUNGU hawawezi kumkubali Blair!!!
 
Kosa wanalolifanya ni kumrithisha rafiki au adui rais wetu. Kama wao walikosana na Blair kipindi hicho Mama Samia halazimiki kufuata nyayo zao.
CCM itafute mgombea 2025. Vinginevyo yatatokea yale ya 2015. Ni ushauri tu
Shirika la habari la South Africa walikuwa na mjadala kuhusu Mama Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake.

Hoja ya wachambuzi haikuwa kwa nini Tony Blair Bali ilikuwa credibility ya Tony Blai...
 
Shirika la habari la South Africa walikuwa na mjadala kuhusu Mama Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake.

Hoja ya wachambuzi haikuwa kwa nini Tony Blair Bali ilikuwa credibility ya Tony Blair...
Anashauri namna ya ku lobby madili huko majuu, wakitaka ameue kilaza wao Zuma au? Pumbavu sana.
 
Fedheha kubwa kwa taifa, hakuna muafrika anaweza kuwa adviser wake?
Nitajie mwafrika mmoja ambae wakati wowote anaweza kuinua simu na kuzungumza na RAIS wa Marekani na akamsikiliza kuhusu uhitaji wetu wa chanjo? Ushauri wa Blair ni wa muda tu na ni kuhusu janga la corona na jinsi ya kupambana nalo!!!
 
Wazungu ni watu wema sana kwetu hamkumbuki kipindi cha jpm walivyowasaidia?
 
Nitajie mwafrika mmoja ambae wakati wowote anaweza kuinua simu na kuzungumza na RAIS wa Marekani na akamsikiliza kuhusu uhitaji wetu wa chanjo? Ushauri wa Blair ni wa muda tu na ni kuhusu janga la corona na jinsi ya kupambana nalo!!!
Kunja ngumi jipige kifuani huku ukisema "mimi ni mpumbavu"!
 
Shirika la habari la South Africa walikuwa na mjadala kuhusu Mama Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake.

Hoja ya wachambuzi haikuwa kwa nini Tony Blair Bali ilikuwa credibility ya Tony Blair.


Wanasema Tony Blair hana credibility, hivyo kumteua kuwa mshauri ni kosa na wanashangaa imekuwaje Tanzania nchi iliyopigania ukombozi kufanya kitu kama hicho.

Mimi binafsi kwenye hili sijui hata nisimamie wapi maana sijui pa kuanzia, ngoja tuendelee kusubiri wajuvi wakilichambua kwa hoja.

View attachment 1987100
Tayari wameshabadilisha uzi
 
CCM itafute mgombea 2025. Vinginevyo yatatokea yale ya 2015. Ni ushauri tu

Dua la kuku
 
Kunja ngumi jipige kifuani huku ukisema "mimi ni mpumbavu"!

Acha matusi mtoto jifunze kujibu hoja!!! Hizi shule zenu za kata haziwafundishi kufikiri bali matusi tu ndio maana mnasema mmemaliza shule huku kichwani hamna kitu mmejaza pumba!!! Kwa mtindo huu mtajazana vijiweni na vyeti bila kuajiliwa.
 
Tujifunze kwa waliofanikiwa. Watu wanawaponda wazungu ila wanacheza Green card rottery
 
SA sidhani kama wanakitu chochote cha kuifundisha Tanzania..
Nakuunga mkono mkuu..kwakifupi hawana cha kutushauri na hawana cha kutusaidia...japo sio mshabiki wa samia lakin hiz fedha za misaada huwa zina masharti huwez jua hata kwa hii appointment ya Blair ni influence ya nan?
 
Kuna tatizo kubwa kama Mkuu wa nchi atakuwa na washauri peke yao walioelimishwa kwa fedha za multilateral institutions au taasisi za magharibi!!! Mlengo wao mara nyingi sio kuwa independent thinkers bali to always lean towards western interests na sio interests za nchi zao!!! Ni vema kama kiongozi akiwa na jopo [ diversity] la washauri hasa kwenye mambo ya uchumi kuliko kumtegemea kiumbe mmoja!!

Kuhusu uteuzi wa Tony Blair, mimi binafsi sina tatizo kutegemeana na nchi inataka nini kutokana na uteuzi huo. Katika miaka hii ya utawala wa Magufuli nchi yetu haikuwa na uhusiano mzuri na mataifa mengi hasa ya Ulaya na Marekani; hivyo ikaonekana kutokana na historia ya huko nyuma enzi za Mkapa, mtu pekee ambae anaifahamu vizuri nchi yetu na angeweza kutusaidia kurudisha uhusianao mzuri na nchi za nje ili kupata misaada hasa wa kupambana na covid 19 ni taasisi ya Tony Blair.

Tukumbuke kuwa huko nyuma akiwa Waziri Mkuu enzi ya Mkapa nchi yetu ilikuwa na ludo la madeni ya nje na ni huyu huyu Tony Blair aliyetusaidia kuwashawishi wadeni wetu kupunguza na hata kuyafuta madeni na nchi ikapata afueni. Ni kufuatana na historia hiyo na matatizo tuliyonayo na covid 19 ndio maana ikaonekana kuwaomba taasisi ya Tony Blair kutusaidia ni jambo la busara. Tukumbuke pia kuwa hizi chanjo za covid19 zinapatikana hasa kwenye nchi zilizoendelea na hasa marekani hivyo tunahitaji mtu anayekubalika na BIDEN iili kupata hizo chanjo!

Tanzania sio nchi pekee ya Africa inayomtumia Tony Blair kwa ushauri. Majirani zenu wa Rwanda wamekuwa wanamtumia kwa muda mrefu sasa na wana matokeo mazuri
Watu wengi wanatanguliza siasa
 
Acha matusi mtoto jifunze kujibu hoja!!! Hizi shule zenu za kata haziwafundishi kufikiri bali matusi tu ndio maana mnasema mmemaliza shule huku kichwani hamna kitu mmejaza pumba!!! Kwa mtindo huu mtajazana vijiweni na vyeti bila kuajiliwa.

Kuajiliwa ×
Kuajiriwa✓

Shule za kata zimeingiaje hapo?
Kuajiriwa kumeingiaje hapa? Bahati mbaya sana we mpuuzi unawaza kuajiriwa tu.

Kwa hiyo unaona uwezo wa Blair kupiga simu ikulu ya Washington ndio kigezo hasa cha mama kumteua kuwa mshauri wake?

Tumia akili kijana!!
 
😁😁 Eti kwny Pandora yumo kaficha pesa zake za kula rushwa?Mlipoambiwa elimu elimu elimu mlibisha.Jifunze tofauti Kwanza Kati ya Tax Avoidance vs Tax Evasion.
Bwashee naona umekuwa shabiki fuata upepo hata ukitafsri vipi bado kukwepa kodi/kuficha pesa kwa mtu ambaye anatakiwa awe mfano ni kosa la kimaadili, kwa taarifa yako labda ni wewe na wenzako ndio mnamuona Blair ni mtu wa maana, sijui hiyo unaita elimu ,elimu mwenyewe huna kitu, unaweza ukawa hata professor lakini kama hujitambui unakuwa swa na ngumbaru bwashee
 
Wengine tulishaliona hapa na kuandika, hii ni fedheha sana,Blair ni tapeli la kimataifa, yeye ni mtu wa kupiga dili tu hana lolote, ana historia mbaya sana na hizo dili zake na hata Pandora Papers yumo kaficha pesa zake anazopata kwa kula rushwa.

Na hiyo pesa ya msaada kwa ajili ya COVID itaishia kumlipa Blair. Sijui huyu tapeli atamshauri nini raisi wetu ambacho washauri wa raisi wetu wameshindwa kumshauri au hawakijui.
Anacho shauriwa yeye Ndo maamuzi yanayotekelezwa kwako Na kwa wananchi wote
 
Bwashee naona umekuwa shabiki fuata upepo hata ukitafsri vipi bado kukwepa kodi/kuficha pesa kwa mtu ambaye anatakiwa awe mfano ni kosa la kimaadili, kwa taarifa yako labda ni wewe na wenzako ndio mnamuona Blair ni mtu wa maana, sijui hiyo unaita elimu ,elimu mwenyewe huna kitu, unaweza ukawa hata professor lakini kama hujitambui unakuwa swa na ngumbaru bwashee
Naona tayari umeshapaniki Manka.
 
Back
Top Bottom