kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Siku Gwajima, Polepole ama Msukuma mmojawapo Kati ya Hawa akipata urais atamtoa Sabaya Lupango na kumteua kuwa waziri mkuu. Hapo ndipo waliomshitaki na wanaoendesha kesi leo wataomba dunia ipasuke.Bado mnamuota Sabaya tu?
Kalibu kumsahau kabisa Ni Kama tumeshazika na kubaki jina.
30 jelaPamoja na Sabaya kufikishwa mahakani kwa tuhuma lukuki ikiwemo matumizi ya silaha na madaraka kinyume Cha sheria, wafuasi wa mfumo butu wa security wamekubaliana na hoja kwamba alitumwa kwa maslahi ya Taifa na hivyo wanajipanga kumtoa kwenye kesi inayomkabili kwa sababu kuu mbili;
1. Kumkamata inadaiwa nikusaliti utawala wa awamu ya Tano
2. Kumfunga inadaiwa nikukwamisha mwendelezo wakuwatumia watu wa aina ya akina sabaya kufanya kazi wanazotumwa wakiofia kufunguliwa mashtaka
3. Kumfunga nikimfanya Mbowe awe shujaa Jambo ambalo litadhorotesha imani ya wananchi kwa CCM
4. Kumfunga nikupunguza kasi ya maandalizi ya suku gang kuelekea kurejesha madaraka.
Kwa mantiki hiyo mahakama inatumika kumtoa na kumfanya shahidi kwenye kesi ya Ugaidi I'll kumrejeshea umaarufu na kuwazima mdomo waliomkejeli.
Swali, je mahakama itaendelea kutumika na serikali au itazikataa mbinu chafu za serikali? Tusubirie Maamuzi ya Mahakama ya mafisadi kuhusu kesi ya Ugaidi.
Hao watu unaowaongelea sasa hivi wanaishi kama digidigiSiku Gwajima, Polepole ama Msukuma mmojawapo Kati ya Hawa akipata urais atamtoa Sabaya Lupango na kumteua kuwa waziri mkuu. Hapo ndipo waliomshitaki na wanaoendesha kesi leo wataomba dunia ipasuke.
Sabaya atawaweka ndani viongozi wote waliopo madarakani hivi Sasa.
Kumfunga mtu siyo jambo rahisi kama unavyofikiria mzeeNa siku Mbowe akila mvua uje ushangilie hivyohivyo
Sheria ya nchi hairuhusu kuwa kiongozi mkubwa hvyo km uliwahi kuhukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi 6Siku Gwajima, Polepole ama Msukuma mmojawapo Kati ya Hawa akipata urais atamtoa Sabaya Lupango na kumteua kuwa waziri mkuu. Hapo ndipo waliomshitaki na wanaoendesha kesi leo wataomba dunia ipasuke.
Sabaya atawaweka ndani viongozi wote waliopo madarakani hivi Sasa.
Kiburi cha kishetani kitawaponza nyie hamkomi?Siku Gwajima, Polepole ama Msukuma mmojawapo Kati ya Hawa akipata urais atamtoa Sabaya Lupango na kumteua kuwa waziri mkuu. Hapo ndipo waliomshitaki na wanaoendesha kesi leo wataomba dunia ipasuke.
Sabaya atawaweka ndani viongozi wote waliopo madarakani hivi Sasa.
Dogo umeumia sana jambazi kufungua!?Na siku Mbowe akila mvua uje ushangilie hivyohivyo
Nina imani na Nipo linaloongozwa na Kibatala.Pamoja na Sabaya kufikishwa mahakani kwa tuhuma lukuki ikiwemo matumizi ya silaha na madaraka kinyume Cha sheria, wafuasi wa mfumo butu wa security wamekubaliana na hoja kwamba alitumwa kwa maslahi ya Taifa na hivyo wanajipanga kumtoa kwenye kesi inayomkabili kwa sababu kuu mbili;