Ifike mahali uniform za jela zipigwe marufuku.Marekani ukiwa mfungwa na kesi nyingine mahakamani, unatinga na uniform yako ya jela.
Kwanini mkuu?Ifike mahali uniform za jela zipigwe marufuku.
Wavae nguo za kawaida Kama jela za ulaya.
Uniform ni udhalilishaji wa utu wa binadamu.Kwanini mkuu?
Hata ulaya wanavaa uniform, ni nchi gan wafungwa hawavai uniform? Labda unisaidie na Jina la gereza ili nijifunze kitu kipyaUniform ni udhalilishaji wa utu wa binadamu.
Hivi mfungwa anajisikiaje kuvaa nguo moja miaka 10?
Anajisikiaje siku akija kutembelewa na jamaa zake akiwa na magwanda?
Uniform ni moja Kati ya udhalilishaji wa mfungwa.
Kwahiyo mkuu unasema uniform ni udharirishaji kwa askari, air hostess, madaktari, wafanyakazi wa benki na wanafunzi.Uniform ni udhalilishaji wa utu wa binadamu.
Hivi mfungwa anajisikiaje kuvaa nguo moja miaka 10?
Anajisikiaje siku akija kutembelewa na jamaa zake akiwa na magwanda?
Uniform ni moja Kati ya udhalilishaji wa mfungwa.
Jela ipi ulaya hawavai uniform aiseeIfike mahali uniform za jela zipigwe marufuku.
Wavae nguo za kawaida Kama jela za ulaya.
Habari wanajukwaa wenzangu, Binafsi ningeomba wajuzi wa sheria na mambo ya magereza watujuze na sisi tusiojua basi!
Sote tunajua kwamba Mh. Sabaya alipatikana na hatia na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela. Wakati huo bado anakabiliwa na mashitaka mengine yanayo mfanya aendelee kufika mahakamani akiwa kama Mfungwa mwenye kesi nyingine.
Sasa kawaida tunavyojua ukishahukumiwa ni lazima upewe uniform za Gereza zilizo na namba ya kifungo chako kifuani. Sasa kwanini Sabaya havai uniform hizo ingali na yeye ni mfungwa tayari? Maana jamaa ananyuka suti tu View attachment 2071589
au inaruhusiwa ukiwa na kesi unaweza kuzivua ukavaa kiraia tu?
Mwenye kujua ebu atueleweshe.
Asante!
Yaani naumwa kila nikimuona huyu kijanaNasema tena, hata awe mbaya namna gani, wazazi tumbo la uzazi lanauma.
Wanangu nendeni polepole mnatumaliza na bp na sukari.
Una huakika hiyo picha ya Leo ?Halafu hilo bichwa si lilitakiwa liwe para?
Mbona amechonga…?
Si ajabu huko gerezani kwenye hicho kifungo chake akawa analala kwa mkuu wa gereza…!!
Mergos FleuryHata ulaya wanavaa uniform, ni nchi gan wafungwa hawavai uniform? Labda unisaidie na Jina la gereza ili nijifunze kitu kipya
Uniform ni udhalilishaji wa utu wa binadamu.
Hivi mfungwa anajisikiaje kuvaa nguo moja miaka 10?
Anajisikiaje siku akija kutembelewa na jamaa zake akiwa na magwanda?
Uniform ni moja Kati ya udhalilishaji wa mfungwa.