Sababu zitakazomfanya mwanangu ajifunze programming.

coding.jpg

Unafungua JamiiForums na unaona imepigwa DDos hujui kinachofanyika.
Unapost kwenye group WhatsApp nako hujui inakuwaje mpaka watu wanaiona post yako.
Unarudi unapiga screenshot unapost instagram hujui nini kinachofanyika mpaka post yako inaionekana.
Unaingia twitter unafollow JamiiForums page hujui kinachofanyika mpaka unaweza kuwafollow.
Premiumship member inaexpire unachukuwa simu yako unawarushia warenew kwa M-Pesa nayo hujui inafanyaje kazi.
Unaingia jukwaa ka Tech unataka kulike hii post huoni option unaenda kulalamika Complains & Congrats kule chini wakati hujui nini kinafanyika.

Dunia inaenda upo upo tu, we ni mtu wakupost nakucomment.
We ni mtu wakuangalia tu movies bila kujua what is going on beyond the core of your Lap.

Kujua coding humfanya mtu aweze kufikiri kwa njia nyingine mbalimbali, Tofauti kabisa na mtu asiyejua chochote kuhusu coding, its doesn't makes you smart but it makes you strong.
Kupitia coding mtu anauwezo wakufanya kitu akatambulika na dunia n get pay in return, kuliko yule mwenye selfie addiction poster n comment(er).
Dunia ya sasa inapokwenda binadamu ataanza kufikiria kama computer.
Mtoto akiwa yupo yupo tu haelewi how things goes on anakuwa mzembe hawezi kufikiria, kwamba hapa kwenye hili game mbona kuna hiki na hiki, aliyetengeneza atakuwa kafanya hiki., sasa mtoto akiwa anacheza cheza tu magem nakujisifia kwa wenzie haimfanyi awe stronger.

We unachofanya huna tofauti na mtoto anayecheza game, kwani hujagundua kitu mpaka sasa zaidi ya kukopi ya wenzako.

Akina isaac newton ndo walipaswa kuanzia hii thredi.
 
Akimaliza hayo mkuu pia ajifunze na kujua kulima,maana huwezi ukawa unakula tu chakula halafu hujui kinafanyika nini huko mashambani hadi kufikia hatua ya mwisho ya kupatikana hicho chakula.

Yani mwanzisha thredi sijaelewa kwanini kaanzisha thredi.

Inamana siku akipanda ndege itabid aende akajifunze kiwandani ndege imeruka kwanini.
 
Mkuu, slow down you're in the right track but you need to sit.
Angalia comment zangu hapo juu vizuri utagrasp what i mean.
 
Yani mwanzisha thredi sijaelewa kwanini kaanzisha thredi.

Inamana siku akipanda ndege itabid aende akajifunze kiwandani ndege imeruka kwanini.

Ni vizuri ungeelewa kwanza.
 
Akimaliza hayo mkuu pia ajifunze na kujua kulima,maana huwezi ukawa unakula tu chakula halafu hujui kinafanyika nini huko mashambani hadi kufikia hatua ya mwisho ya kupatikana hicho chakula.

Hehehe mkuu miaka ya mbele hadi kulima tutaachia machine ifanye hiyo kazi, ni kuandika code tu kuipa instructions itajua kulima mwanzo mwisho, sisi tutakaa tunasubiri mazao tu na kurecharge robots special kwa kazi hiyo.
 
Coding wamegundua wenzako, we umefanya jitihada gani kujua kitu kingine tofauti!?

Hayo ni ya ziada unaongezea wewe, usijaribu kutoka nnje ya kinachozungumziwa kwasabu siwezi kuwa na muda huo.
keep knocking.
 
coding.jpg

Unafungua JamiiForums na unaona imepigwa DDos hujui kinachofanyika.
Unapost kwenye group WhatsApp nako hujui inakuwaje mpaka watu wanaiona post yako.
Unarudi unapiga screenshot unapost instagram hujui nini kinachofanyika mpaka post yako inaionekana.
Unaingia twitter unafollow JamiiForums page hujui kinachofanyika mpaka unaweza kuwafollow.
Premiumship member inaexpire unachukuwa simu yako unawarushia warenew kwa M-Pesa nayo hujui inafanyaje kazi.
Unaingia jukwaa ka Tech unataka kulike hii post huoni option unaenda kulalamika Complains & Congrats kule chini wakati hujui nini kinafanyika.

Dunia inaenda upo upo tu, we ni mtu wakupost nakucomment.
We ni mtu wakuangalia tu movies bila kujua what is going on beyond the core of your Lap.

Kujua coding humfanya mtu aweze kufikiri kwa njia nyingine mbalimbali, Tofauti kabisa na mtu asiyejua chochote kuhusu coding, its doesn't makes you smart but it makes you strong.
Kupitia coding mtu anauwezo wakufanya kitu akatambulika na dunia n get pay in return, kuliko yule mwenye selfie addiction poster n comment(er).
Dunia ya sasa inapokwenda binadamu ataanza kufikiria kama computer.
Mtoto akiwa yupo yupo tu haelewi how things goes on anakuwa mzembe hawezi kufikiria, kwamba hapa kwenye hili game mbona kuna hiki na hiki, aliyetengeneza atakuwa kafanya hiki., sasa mtoto akiwa anacheza cheza tu magem nakujisifia kwa wenzie haimfanyi awe stronger.

H?zo ni fikra zako wewe. Kwa engeneer,MD,Accauntant,Lawyer,busnesman kuj?sulubu kumeza micodi wakati pesa inaflow why? Kuwa strong duniani ni kudhibiti uchumi. Wewe endelea kukariri micode walioanzsha wenzio wakati wenzio wanapiga pesa
 
Unaanza kuingilia personalities zangu kitu ambacho ni kutoka nnje ya mada.
Me nimemzungumzia mwanangu lakini wewe unaniingilia upande wangu, OK, unatakiwa uelewe hii concept ndogo, programmer anafikiria kitu kwa vile computer itakavyoelewa, sio yeye atakavyoelewa na hii ndiyo tofauti kubwa na watu wengine ninayo izungumzia hapa.

H?zo ni fikra zako wewe. Kwa engeneer,MD,Accauntant,Lawyer,busnesman kuj?sulubu kumeza micodi wakati pesa inaflow why? Kuwa strong duniani ni kudhibiti uchumi. Wewe endelea kukariri micode walioanzsha wenzio wakati wenzio wanapiga pesa
 
Sio lazima kila mtu awe kila kitu kwenye kila taaluma. Binafsi wakati napiga code zangu halafu umeme uzingue, huwa namuita fundi aje afanye yake kwenye nyaya na siumizi akili kaunga waya upi wapi, ilmradi kafanikisha na mimi nikarejelea kwenye code zangu. Hivyo hivyo hata kwa fundi wa bomba, wa choo n.k.

Wanangu wote hakuna ambaye ameonyesha interest kwenye programming na siwezi washinikiza, kila mtu afuate utashi wake.
 
Mkuu angalia baada yakuweza kuandika code mind yako imekuwaje,
baada yakuweza code unaweza kufikiri kwa namna tofauti na kawaida, yaani unaandika code vile computer itakavyo elewa, sio wewe unavyoelewa.
The ability to think out of the box is what makes programmer a programmer.
Mtu asiyejua code anakuwa na namna moja yakufikiri, angalia jinsi unavyosolve problems za coding, je hiyo mind unayoitumia hupendi mwanao awe nayo ?
 
coding.jpg

Unafungua JamiiForums na unaona imepigwa DDos hujui kinachofanyika.
Unapost kwenye group WhatsApp nako hujui inakuwaje mpaka watu wanaiona post yako.
Unarudi unapiga screenshot unapost instagram hujui nini kinachofanyika mpaka post yako inaionekana.
Unaingia twitter unafollow JamiiForums page hujui kinachofanyika mpaka unaweza kuwafollow.
Premiumship member inaexpire unachukuwa simu yako unawarushia warenew kwa M-Pesa nayo hujui inafanyaje kazi.
Unaingia jukwaa ka Tech unataka kulike hii post huoni option unaenda kulalamika Complains & Congrats kule chini wakati hujui nini kinafanyika.

Dunia inaenda upo upo tu, we ni mtu wakupost nakucomment.
We ni mtu wakuangalia tu movies bila kujua what is going on beyond the core of your Lap.

Kujua coding humfanya mtu aweze kufikiri kwa njia nyingine mbalimbali, Tofauti kabisa na mtu asiyejua chochote kuhusu coding, its doesn't makes you smart but it makes you strong.
Kupitia coding mtu anauwezo wakufanya kitu akatambulika na dunia n get pay in return, kuliko yule mwenye selfie addiction poster n comment(er).
Dunia ya sasa inapokwenda binadamu ataanza kufikiria kama computer.
Mtoto akiwa yupo yupo tu haelewi how things goes on anakuwa mzembe hawezi kufikiria, kwamba hapa kwenye hili game mbona kuna hiki na hiki, aliyetengeneza atakuwa kafanya hiki., sasa mtoto akiwa anacheza cheza tu magem nakujisifia kwa wenzie haimfanyi awe stronger.
Ngoja siku upate tezi dume tuone kama micode yako ?takusaidia kulitumbua .
 
Mkuu angalia baada yakuweza kuandika code mind yako imekuwaje,
baada yakuweza code unaweza kufikiri kwa namna tofauti na kawaida, yaani unaandika code vile computer itakavyo elewa, sio wewe unavyoelewa.
The ability to think out of the box is what makes programmer a programmer.
Mtu asiyejua code anakuwa na namna moja yakufikiri, angalia jinsi unavyosolve problems za coding, je hiyo mind unayoitumia hupendi mwanao awe nayo ?

Yeah!! I'd love my kids to take up after me, but they too have their own passions to follow. It's their lives and should live it as according to how they find it enjoyable.
Programming is a calling, a way of life, one has to be crazily patient, passionate and ready to spend long hours late in the night, buried deep in the code. There are times I hit my keyboard for 24hrs long, enjoying every bit of it, loving it and getting mesmerized all the way.

And nothing beats the feeling of captivating a whole audience in a conference room whom you're demonstrating the features of your system, all seating back and watching in awe as you lord over them.
 
Mkuu angalia baada yakuweza kuandika code mind yako imekuwaje,
baada yakuweza code unaweza kufikiri kwa namna tofauti na kawaida, yaani unaandika code vile computer itakavyo elewa, sio wewe unavyoelewa.
The ability to think out of the box is what makes programmer a programmer.
Mtu asiyejua code anakuwa na namna moja yakufikiri, angalia jinsi unavyosolve problems za coding, je hiyo mind unayoitumia hupendi mwanao awe nayo ?

Kwahiyo wanaopiga code ndo watu wenye uwezo mpana wa kufikiri?
 
Akimaliza hayo mkuu pia ajifunze na kujua kulima,maana huwezi ukawa unakula tu chakula halafu hujui kinafanyika nini huko mashambani hadi kufikia hatua ya mwisho ya kupatikana hicho chakula.
Kilimo cha jembe kilisha kufa Karne ya 20,babu yangu sitimbi analimia Trekta,,infact,huko tuendako nothing will be done by man,Computer ndo zitafanya everthing,Kazi ya mwanadamu itakua kuprogram computer.

H?zo ni fikra zako wewe. Kwa engeneer,MD,Accauntant,Lawyer,busnesman kuj?sulubu kumeza micodi wakati pesa inaflow why? Kuwa strong duniani ni kudhibiti uchumi. Wewe endelea kukariri micode walioanzsha wenzio wakati wenzio wanapiga pesa
Miaka 30 baadae,AI itakua na uwezo wa kufanya almost everything afanyacho binadamu,Watu pekee watakao kua na Kazi kwa kipindi icho ni AI Programmers!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom