sababu zipi za msingi kuishi na mme wa ndoa wakati naweza jitegemea sasa

Naomba msaada ni sababu zipi za msingi kuishi na mme wa ndoa wakati naweza jitegemea sasa.

1. Unaolewa ili uweze kupata tendo la ndoa angalau 3 times per week si unajua utamu wa orgasm.Kama haujaolewa ni ngumu kupata iliyo salama degree of safeness inapungua.Unaweza ukaokoteza at the end ukapata umeme najua hata wanandoa wengine wanapata ila ni kwa wale ambao si waaminifu kupata kwa njia nyingine kama ajali etc ni bahati mbaya mimi ninachoongelea hapa ni kwa yule anayetegemea kuokoteza wanaume kama wewe.
2. Kuolewa ni lazima kulingana na maandiko matakatifu yaani Biblia na Kuran.
3. Kuepuka kuvamia waume za watu ambao mwisho wa siku unaweza kupoteza maisha kwa kichapo.
4. Ili kuepuka kunasa na kuepuka fedheha kama wale wa Temeke.
5. Kupata mtu wa kusaidiana nae ktk maisha, leo unaweza ona unaweza jitegemea lakini kesho ukawa wa kuhitaji msaada.
6. Ili watoto waweze kupata malezi ya baba siyo mababa wa kuokoteza.
7. Mwisho nakushauri uende ukaonane na mtaalamu wa kisaikolojia maana kwa mawazo hayo utakuwa na matatizo. Kwa mawazo haya Either utakuwa umeishatendwa au akili yako itakuwa na matatizo mengine.
 
kumbe ndo maana mnalialia tuu ndoa chungu kumbe lengo lenu kubwa la kuolewa ni kumpa mwenzi wako mzigo wa umaskini ulionao! Ndo maana mnanyanyasika. Si mapenzi yanakupeleka bali umaskini ndo unakutuma ukaolewe. Safari yenu ya kujikomboa bd sana!
 
Naomba msaada ni sababu zipi za msingi kuishi na mme wa ndoa wakati naweza jitegemea sasa.

hamna sababu...wee endelea na maisha bila tabu. ukitaka kugegedwa unatafuta wakina mzabzab
 
Dah umerudi tena,thread zako zinarandana na ID yako. Jaribu mme wa mtu
 
1. Unaolewa ili uweze kupata tendo la ndoa angalau 3 times per week si unajua utamu wa orgasm.Kama haujaolewa ni ngumu kupata iliyo salama degree of safeness inapungua.Unaweza ukaokoteza at the end ukapata umeme najua hata wanandoa wengine wanapata ila ni kwa wale ambao si waaminifu kupata kwa njia nyingine kama ajali etc ni bahati mbaya mimi ninachoongelea hapa ni kwa yule anayetegemea kuokoteza wanaume kama wewe.
2. Kuolewa ni lazima kulingana na maandiko matakatifu yaani Biblia na Kuran.
3. Kuepuka kuvamia waume za watu ambao mwisho wa siku unaweza kupoteza maisha kwa kichapo.
4. Ili kuepuka kunasa na kuepuka fedheha kama wale wa Temeke.
5. Kupata mtu wa kusaidiana nae ktk maisha, leo unaweza ona unaweza jitegemea lakini kesho ukawa wa kuhitaji msaada.
6. Ili watoto waweze kupata malezi ya baba siyo mababa wa kuokoteza.
7. Mwisho nakushauri uende ukaonane na mtaalamu wa kisaikolojia maana kwa mawazo hayo utakuwa na matatizo. Kwa mawazo haya Either utakuwa umeishatendwa au akili yako itakuwa na matatizo mengine.

Kwa jinsi anavyonekana tu sijui kama atasoma huu ushauri wako, lakini ni ushauri makini uliojitoshereza
 
hiv mwanzo ulikuwa hujitegemei enh!
(that explains a lot of things)ahahahhahah hivi hiki kidhungu kilikuwa wapo wakati ule unaandika zile thread za kiinglish tuuuuu leo umeongea cha mbunda msokile eti mi ndo naweka cha tshaka salli sasa !ah!
 
Adamu alikuwa na vyote alivyohitaji katika bustani la Edeni lakini bado Mungu alioona kuna jambo si zuri (upweke wa kutokuwa na mwenza) na hivyo kumpa Hawa.

Back
Top Bottom