mm nyuzi zake ntakuwa napita kumwaga like tu
Naomba msaada ni sababu zipi za msingi kuishi na mme wa ndoa wakati naweza jitegemea sasa.
Naomba msaada ni sababu zipi za msingi kuishi na mme wa ndoa wakati naweza jitegemea sasa.
Naomba msaada ni sababu zipi za msingi kuishi na mme wa ndoa wakati naweza jitegemea sasa.
1. Unaolewa ili uweze kupata tendo la ndoa angalau 3 times per week si unajua utamu wa orgasm.Kama haujaolewa ni ngumu kupata iliyo salama degree of safeness inapungua.Unaweza ukaokoteza at the end ukapata umeme najua hata wanandoa wengine wanapata ila ni kwa wale ambao si waaminifu kupata kwa njia nyingine kama ajali etc ni bahati mbaya mimi ninachoongelea hapa ni kwa yule anayetegemea kuokoteza wanaume kama wewe.
2. Kuolewa ni lazima kulingana na maandiko matakatifu yaani Biblia na Kuran.
3. Kuepuka kuvamia waume za watu ambao mwisho wa siku unaweza kupoteza maisha kwa kichapo.
4. Ili kuepuka kunasa na kuepuka fedheha kama wale wa Temeke.
5. Kupata mtu wa kusaidiana nae ktk maisha, leo unaweza ona unaweza jitegemea lakini kesho ukawa wa kuhitaji msaada.
6. Ili watoto waweze kupata malezi ya baba siyo mababa wa kuokoteza.
7. Mwisho nakushauri uende ukaonane na mtaalamu wa kisaikolojia maana kwa mawazo hayo utakuwa na matatizo. Kwa mawazo haya Either utakuwa umeishatendwa au akili yako itakuwa na matatizo mengine.
Naomba msaada ni sababu zipi za msingi kuishi na mme wa ndoa wakati naweza jitegemea sasa.