Sababu zinazopelekea wafanyakazi wa CRDB kuwa 'smart' tofauti na benki nyingine

Speaking of shape.. Kuna mdada huyo alikua crdb ppf tower sijui kama bado yupo maana sijaenda miaka mingi. Alikua na shape moja hatari sana si mchezo. Wazee wa kupimia watakua wanamsoma

Huyo dada nammanya....hii dunia ina vitu vizuri sana....sema kama hauna hela mkuu utatandikia watu jamvi!!!
 
Arusha jamani too much unaweza ukaingia bank ukafikiri umeingia kwenye nyumba ya msiba, kwanza wafanyakazi wenyewe wana hasira, mizee tupu unamuuliza hiki anajibu kile, wanafurahi sana wanapoona watu wamepanga foleni.
Utakua unamaanisha NBC?
 
Mkuu, labda ilikuwa zamani sio sasa.

Kupata ATM Card NBC inachukua dakika kumi tu. CRDB ni week mbili hadi miezi. NMB pia wanachukua muda mwingi tu.

Kuweka au kutoa pesa ndani, huitaji kujaza fomu siku hizi. Nenda dirishani na account number yako na bila shaka na Card yako. Bado CRDB na NMB lazima ujaze fomu, mambo ya kijima hayo.

Lakini lazima niseme ukweli, NBC wana tatizo la mtandao ambalo pia hutokea CRDB na NMB.
Hujafika NBC Arusha wewe
 
Bank ya ovyo kabisa.

Kubadili ATM card inachukua week mbili hadi miezi. NBC unapewa within 10 minutes!

Wanajinadi kwa slogan: The Bank that listens. Labda wanasikiliza mwangwi wao! Karne ya leo kubadili ATM card week mbili?

Ku deposit au kuchukua hela mpaka ujaze form. NBC siku hizi unaenda counter na number ya account tu au ATM card yako unataja kiasi unachochukua.
NBC unayotaja sio ya Arusha
 
Si nmesikia NBC ndo wanainunua Barclays Africa, sizan kama wanafilisika ila pengine staffs hawajisikii nyumban wakiwa kweny AC za NBC
NBC na kisirani chao hawawezi hilo.

Anaeinunua Barclays ni AtlasMara alekua CEO wa Barclays global. Labda na ABSA aongeze shares. Btw, NBC na Barclays Africa nadhani ni ndugu chini ya ABSA.
 
Labda una maslahi binafsi au umeingia bank chache kupata huduma then ukafunga utafiti wako kwa hitimisho la crdb,kuna matawi yako ovyo na hata thread ziliwahi kufunguliwa humu;Punguza mahaba
 
Ninashangaa sana kwamba wewe unafikiria kuwa smart ni kuvaa au muonekano ambao unaweza kupiga picha na kuuingiza JF. Smartness comes from the way you offer a setvice: understanding what the customer needs and getting him his need in a way he/she appreciates! Do not comment on sthg you do not understand! We are talking of soft issues, and your mind is looking hard, not soft, not digital! You simply do not like CRDB or you are bought by a competitor yo CRDB!
Mtoa mada ametoa hadi mfano wa T-shirts wanazogaiwa wafanyakazi Crdb, hapo unafikiri mtu atawaza neno smart limetumika kama ulivyolielezea?
 
Kuna moja ipo dar post ya zamani nilienda kufungua acaunt ya sim pesa kuna mdada mmoja alinihudumia nikatamani asimalize kuni reg..

Nikatoa kama mil 10 mananger akaniita akaniambia atanipa ulinzi wa skoti ya polis nikamwambia hapana nitafika


Huyo dada ni mimi Mkuu
 
Back
Top Bottom