Sababu zinazopelekea Kuchepuka

Sababu zinazopelekea Kuchepuka

Big Dy

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2015
Posts
496
Reaction score
615
kama heading inavyosoma, kumekuwa kuna malalamiko mengi kadri ya siku zinavyozid kwenda watu kusalitiana na kuvunjika kwa ndoa nyingi sana. Sababu zinazopelekea ni kama ifuatavyo
1. Kuwa insecure (me u ke kuhisi mwenza wake ana mahusiano mengine ya siri)
2. Kuchunguzana (haswa haswa kwenye hizi simu za kisasa zenye whatsapp,instagram)
3. Usiri wa hali ya juu
4. Kutokua na uvumilivu na vishawishi
5. Pesa
 
Kama mambo yenyewe ndio hayoo,nilipanga kuoa 2025 lakini sioi tena,nimeghairi!
 
Back
Top Bottom