Sababu zinaoifanya serikali kupoteza mvuto

Sababu zinaoifanya serikali kupoteza mvuto

kampen za kisiasa zimeanza,watu wanapiga kura za Maoni kwenye daladala na sehemu za kazi, Jpm amepoteza mvuto,kama kesho walipiga kura Jpm atatupwa mbali sana.Kama mtu haamin ajaribu kura ya maon ndani ya daladala.
 
unaota ndoto za mchana, kila jicho liko serikalini, kila siku watu wanawai magazeti kujua nini kinaendelea serikalini, hii inaonyesha jinsi serikali ilivyo na mvuto
inzi wa kijani" wa kwanza kashajitokeza ngoja tusubiri wengine
 
Back
Top Bottom