sababu zilivoanzisha vurugu katika kijiji cha Ndago jimbo la Iramba magharibi mkoani Singida

563491_10151029058654339_1932870910_n.jpg




Baada ya lile jengo kulia kwa Mh. Mnyika linafuatia jengo la Kituo cha Polisi Ndago. Yaani ni kama hatua 30 kutoka aliposimama Mh. Mnyika.


Ikumbukwe pia CDM walitoa taarifa Polisi kuwa kuna wahuni wanarusha mawe na wakafungua jalada. Lakini cha kushangaza Polisi hawakuwachukulia hao vijana waliotumwa hapo ili wafanye fujo.



Kuna maswali haya ya kujiuliza:

i) Je, Polisi walikuwa wanajua nini kitatokea ndio maana walipuuzia taarifa ya CDM?

ii) Je, vijana waliokuwa wanarusha mawe ni wa CDM au CCM? Na kama ni wa CDM, kwa nini wawarushie mawe viongozi wao? Na kama ni wa CCM, walipata wapi kiburi cha kurusha mawe kama si kulindwa na Polisi kwa maelekezo ya mwigulu?






Hapa Mnyika akihutubia kabla ya kuanza kuvurumushiwa mawe na CCM
 
Back
Top Bottom