GE2025 Sababu za wanaompinga Dkt. Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Namba ya simu ya nini?Au kwa kuwa unajua mama wa watu akisifiwa tu anakupa chĆØo:Kama Kitila Mkumbo alisifia kuhusu bandari kupewa waarabu akapewa uwaziri.
 
Maelezo kibao uzuri wa mambo mema hayahitaji PR ukishaona inatumika nguvu nyingi kusifia nakueleza mema ya mtu basi ujue kuna shida hapo watu sio wajinga mjue TAL ana shine nakukubalika kwaajili ya Matendo yake,uadilifu wake,misimamo yake thabiti isiyoyumba na namna anavyoitetea nchi yake kwa dhati hadi mnamuona tishio ni kutokana na uungwaji wake mkono na makundi mbalimbali wahenga waliposema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza hawakua wajinga ujue wanajua ukweli utawaweka huru. Maelezo kibao ya miradi isiyoweza kuounguza gharama za maisha kwa mwananchi wa kawaida hakuna msaada leo hii mtu aliyeyepo Mangaka huko ukamueleze kuhusu SGR inamnufaisha vipi? Mtu alieko Ukara huko ukamuambie kuhusu bwawa la mwalimu Nyerere anakuelewa vipi? Mtu yuko zake Mchomolo huko ukamueleze kuhusu royal your anakuelewa vipi? Sasa mnaunganishaje haya mavitu na maisha ya mtu wa kawaida kabisa? Huo ndio uchumi unaopaswa kuleta multiplier effect na uwe jumuishi hizi rasilimali tulizonazo kila mmoja aonje matunda yake na wawe na maisha yenye staha na utu wao

No reform No Election
 
Rubbish.
Hata ukiweka namba za simu, hakuna atakayekupigia kwenye hilo genge la wahuni..
 
Wewe jamaa sijui wa aina gani,umekazania husda tu, uorodheshe yote mazuri kama kuondoa tozo na yalifuata halafu achukiwe?akili ni nywele kweli
 
Kitendo cha kuweka number ya simu ni kwamba unasukumwa na njaa kuandika uliyoandika hapa unategemea kupata chochote ndo maana umeweka number hapa kwa hiyo hata ulicholiandika hakina maana kiufi Wewe ni mnafiki nyie hata kipindi cha ukoloni mlikuepo ndo milikua mnawauza wenzenu kwa wakoloni ungeweza kuandika Uzi wako vizuri bila kuweka number ya simu mpaka Sasa tunajua unasukumwa na njaa kuandika ulicholiandika kina kosa maana kwasababu umetanguliza njaa tayari
 
Kweli kuna watu pumba zimejaa kichwani ,andiko reeeefu halafu limejaa mavi matupu.
 
Kwa kweli wewe ni chawa kipofu.

Watu wanalalamikia uovu uliopindukia unaofanywa na utawala wa wake, ukiwa moja kwa moja na baraka zake:

1. Kuwateka na kuwaua wanaomkosoa. Wewe unaona vitendo hivyo ni sahihi?

2. Kuwabambikia kesi za uwongo wapinzani wake wa kisiasa.

3 kupora na kuuza rasilimali za Tanganyika.

4. Kupora mamlaka ya wananchi kwa kuua demokrasia. Angalia alivyopora uchaguzi waSerikali za mitaa, akimtumia mkwe wake, Mchengerwa.

5. Kuwalazimisha TEC eti wamwondoe Fr Kitima kwenye nafasi ya katibu wa TEC wakitaka kuwa na uhusiano mzuri na serikali yake. Walivyokataa, akataka kumwua, kisa tu Fr. Kitima alipinga uporwaji wa bandari zetu.

6. Upendeleo uliovuka mipaka kwa Wazanzibari kwagharama ya Watanganyika. Amewaletea watanganyika mpaka maDC toka Zanzibar.

7. Uporwaji wa mbuga za wanyama na hifadhi za misitu asilia, na kisha kuwagawia watu wake toka Uarabuni.

8. Uporaji wa viwanja vya ndege vya Tanganyika, kisha kuwagawia waarabu.

Msitengeneze habari za kijinga mkiamini watanganyika wote ni wajinga.

Tylimpenda na kumtetea sana alipoanza, lakini kamwe hatuwezi kumwunga mkono kwa uovu wake uliopindukia anaoufanya sasa. Kwa sasa amekuwa chukizo kwa Taifa badala ya kuwa faraja.
 
October tunatiki.
Umesahau kuandika namba yako ya simu ili update uteuzi.

Usichokijua ni kwamba wakati wewe unatumia nguvu nyingi sana kutafuta uteuzi mpk unaamua kujidhalilisha kwa kuandika uvundo huu, akina Ridhiwani na Wanu wanapata uteuzi wakiwa wamelala.
 

Utekaji, utesaji na kupotezwa kwa watu (hasa wakosoaji au wanaotoa hoja tofauti na watawala) ni mojawapo ya masuala ambayo hao unaosema wanachuki na rais wanayakemea kwa sababu wanasema yanamharibia rais sifa ndani na nje ya nchi, je hilo nalo ni chuki?
 
Repeating same stupid bullshit as always nothing new.
 
idara za usalama zinatakiwa kupewa mafunzo maalum, yasiwe uzendo tu,ila viapo vyao viangalie zaidi udhibiti wa makundi kwenye siaza na uongozi.

makundi yamekua mengi,na yote yananguvu na yanaweza pia kutafuta nguvu hata kwingine ilimladi kuhasimiana na kupingana. huu ugonjwa wa makundi unaendelea kukua siku hadi siku na ni hatari kwa kizazi kinachokuja kwenye nchi yetu.

wakiendelea kushangaa itafikia hata idara za usalama nazo zitajenga makundi na mwisho nchi haitakalika.
 
Hata sijasoma
 
Hii nchi yawezekana ina vichaa wengi kuliko tunaowaona mtaani
Ok nipe utofauti uliopo baada ya ujenzi wa bwawa kukamilika na kabla
Leo hii huku kwetu kila siku tupo gizan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…