GE2025 Sababu za wanaompinga Dkt. Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hakika, umenena mkuu.
Wapo ambao hawakutarajia kama angeweza kumudu kufanya mambo hayo kikamilifu.
Wapo walio mbeza na kumdhihaki eti kisa ni mwanamke tena wa kislamu tena mzanzibari.....lakini sasa wanafukuto la unafiki.
Kinacho wakera sasa ni wivu tu hakuna kingine.
 
Ukweli uko waziwazi,samia kafanya makubwa,ila ni kawaida ya siasa za dunia kuwa upinzani,kupingana na kuzushiana uongo kupontu.Hata hao ambao wanamuunga mkono Lissu na akishika nchi haitachukua hata siku 100 watampinga vibaya sana.
 
Nimekomea Para ya kwanza tu nikajua kitakachoendelea ni UGOLO mtupu.
 
I
You are insane
 
Machawa mataifa kama ya Sudan, Somalia,Mashariki ya Kati huwa hayadumu.

Yani jirani yako anaombeleza msiba wa Mzee Kibao we unasifu anaupiga mwingi.
 
Watu huwa hawajifunzi, mchungaji Msigwa pamoja na uchungaji wake wamemtumia sana mwishowe wamemtupa kwenye ndoo ya taka.
Msigwa atakuja kupewa position kama ukuu wa mkoa, wilaya au ubalozi. Ila kwa siasa za muda mrefu, hapo kuna karata tatu.
 
Watu kama, wewe ndio wanafanya, wa bongo tuonekanehatuna means wala akili,
Unasema mihimili ya, serikali inafanya, kazi,?
We, kenge kinachoendelea, pale kisutu,ndio, utawala, Bora!?
Mauaji,ya kada wa, chadema, made kibao, ndio utawala Bora?
Mdude, soka,waliopotezwa, ndio, utawala, Bora!
Kuonesha rais wako, hafai,hajawahi kusomea, udokta, wala sio Medical doctor, ana udokta wa, heshima tu, lakini mpaka kesho anatumia cheo DR kabla ya jina lake, Hilo ni kosa kubwa, inajulikanq duniani, kote,
Kama, ameshindwa kuheshimu sheria za, kimataifa, hataweza, kufata za, ndani?
 
Nimekutumia chochote kitu hapo kijana wangu upoze njaa na maji kwa kazi nzuri, umeiona?
 
Shenzi kabisa umetumia Maneno mengi ya kujirudiarudia ili Uzi uonekane mrefuuuuuuu , ila umeandika pumba pumba tu .
 
sasa dugu jaribu kuandika vizuri basi. kwanza umeshajaribu kujibu hata hoja moja ya hao naowaita wanamchukia Dkt samia? au umekuja tu na hoja zako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…