Habari wa JF,
Sababu zinazochangia wanandoa kuongoza ktk maambukizi ya VVU ni pamoja na kukaa mbali kwa wanandoa mmoja anafanya kazi Mbeya mwingine Arusha mwisho wa siku mmoja anaweza kumsaliti mwenzake na wakikutana wanapeana kama kawaida.
Sababu nyingine baadhi ya wanandoa kuwa na tamaa kwa kutoridhika na mwenzi wake kiuchumi na hata kimapenzi pia.
Wana JF toeni sababu zingine zinazochangia maambukizi ya VVU kwa wanandoa ili iwe tahadhari kwa wengine.