Sababu za vita vya wenyewe kwa wenyewe

sumu-ya-panya

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
632
572
Katika Nchi yangu Tanzania kumekua na viashiria na vichochezi vinavyoweza kupelekea Taifa kuingia katika Civil war.....
ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambayo inasema kwamba kila mtu anao uhuru wa kuwa na maoni na kueleza fikra zake; anayo haki ya kutafuta, kupokea na kutoa habari bila ya kujali mipaka ya nchi, anao uhuru wa kufanya mawasiliano na haki ya kutoingiliwa katika mawasiliano yake na anayo haki ya kupewa taarifa wakati wowote kuhusu matukio mbalimbali muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi na pia kuhusu masuala muhimu kwa jamii,

Ukiukwaji wa Katiba na sheria za nchi..
Matumizi mabaya ya vyombo vya dola.
Serikali kuendeshwa kisiasa...
Uchumi
 
Back
Top Bottom