Sababu za serikali kubadili sifa za kada za afya

14d892853b522a76d2879fffdfe9377d.jpg
Je kama mwanafunzi akiwa kapata D kwa hayo masomo ya sayansi akianza kusoma certificate ya miaka 2 anaruhusiwa kuunga kuendelea na diploma kwa huo mwaka 1 ulobaki au hadi apate hzo C za masomo ya sayansi ndo apate sifa ya kusoma diploma vinginevyo ataendelea kuwa wa certificate tu apo vp mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una vigezo vya kusoma Certificate nenda ukasome, hakutakua na haja ya hizo C.
 
Back
Top Bottom