Sababu za Mahusiano/Ndoa kuvunjika

Sababu za Mahusiano/Ndoa kuvunjika

Dr Koka

New Member
Joined
Aug 11, 2020
Posts
2
Reaction score
3
Sababu za Mahusiano/Ndoa kuvunjika:
Kumekuako na maswali mengi sana kuhusu Mahusiano/Ndoa kuvunjika.
Swala hili wakati mwingine ni tatizo kubwa katika jamii kwani tumekua tukishuhudia ndoa nyingi zikifugwa lakini baada ya siku chache ndoa hizo zinzvunjika kwa sababu tofauti.
Zifuatazo ni sababu zinazoharibu mahusiano/

Sababu za Kibinadamu:
:Kuruhusu watu wa nje kuingilia faragha ya wanandoa hasa mmoja au wanandoa wote kutoa nje siri za mahusiano yao
:Mwanamme na mwanamke kuwa na hitilafu katika viungo vya uzazi
:Umasikini unaosababisha kushindwa kupata mahitaji ya muhimu kwa pande zote vilevile kukidhi maswala yote ya fedha
:Tamaa na matamanio ya kuwa na mpenzi mwingine
:Magonjwa kwa wanandoa
:Kifo vya mmojawapo au wanandoa wote
:Makuzi na tabia za tofauti kati ya wanandoa

Sababu za rohoni:
🙁Uchawi na maswala yote yanayohusiana na ushirikina)
Swala la uchawi na ushirikina ni tatizo kubwa katika ndoa. Nikweli ushirikina na uchawi upo ndugu zangu na ni jambo la hatari sana, unaweza kukataa lakini linapokupata ndipo unatambua kweli ushirikina upo. Kwa wale wote wanaohusika na maswala ya rohoni hili linatambulika dhahiri.

🙁Tofauti katika nafsi)
Hii ina maana kwamba katika roho kuna nguvu za asili ambazo kila binadamu anakua nazo na nguvu ya mmoja inatabia ya kuendana na mtu mwingine. Inapotokea nguvu au roho kutokuendana basi lazima kutengana kuwepo. Mfano mdogo upo kwa mtoto mchanga, mtoto mchanga hata wa siku tatu kuna mtu anaweza kumbeba na akalia usiku kucha na kuonesha dalili za kukimbia lakini mtoto huyo anaweza kubebwa na mtu mwingine akatulia na kupata usingizi vilevile kuonesha dalili za kutaka kuendelea kubebwa naye.
187778736_771043750263802_731537179405637816_n.jpg
 
Back
Top Bottom