miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 660
Hapana situmiiVIP unatumia vidonge vya uzazi wa mpango?
Mara 3Umejaribu mara ngapi kupata mimba kwenye siku za hatari?
Nashukuru tutafanya hivyoKuanzia siku ya 14 sex kwa siku nne mfululizo, Kuna siku itashika kama hakuna mwenye tatizo.
Bado ni mapema, Jipe muda angalau miezi 6, Ukiona bado hujapata nenda na mumeo mkapime mjue shida nini.Mara 3
Huwa ni wa siku 28Mzunguko wako ukoje. Mfupi, kawaida au mrefu,
Huyo hajaolewa, anataka kuwa single mother tuBado ni mapema, Jipe muda angalau miezi 6, Ukiona bado hujapata nenda na mumeo mkapime mjue shida nini.