Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,375
Majirani nao watakula kwa macho daily [emoji23]Hii namba tano mkuu ni kigezo muhimu sana....sasa wee unaoaje mke bila msambwanda....sii kila leo utatamani wake wa wenzio
Eeh ndio fahari ya mwanaume. Unatembea na wife wanaume wenzio wanamtolea macho ila wee ndio unagegeda...thats a great feeling broMajirani nao watakula kwa macho daily [emoji23]
π π π π πNitakuwa nagonga kwa siku mara 3....the biggest lie of all.
Mimi nina wivu wa kiarabu, bora nimfunike na msimuone hata sura [emoji23], na sokoni naenda mwenyewe [emoji41]Eeh ndio fahari ya mwanaume. Unatembea na wife wanaume wenzio wanamtolea macho ila wee ndio unagegeda...thats a great feeling bro
Wee wakikugegedea mke ndionutakuja kujiua...kaka haonwee chukulia kama burudani...wako wakati unamgegeda wewe baada ya hapo lolote linaweza kutokeaMimi nina wivu wa kiarabu, bora nimfunike na msimuone hata sura [emoji23], na sokoni naenda mwenyewe [emoji41]
Kujiua hapana ila nitamwacha, misosi mitamu aiseeWee wakikugegedea mke ndionutakuja kujiua...kaka haonwee chukulia kama burudani...wako wakati unamgegeda wewe baada ya hapo lolote linaweza kutokea
Mkuu, umeandika sababu njema sana kuhusu haja ya kuingia kwenye ndoa. Lakini kuna neno moja nataka nizungumzie hapa hii leo.Sababu kuu zitazofanya ndoa yenu idumu hata ule msemo wa shida na raha, mnaweza kuvumiliana ni hizi.
1.Upendo wa kweli kwa mwenza wako.
2.Kupenda kuingia kwenye ndoa na umpendaye.
3.Kupenda kudumu kwenye ndoa na uaminifu kwa mwenza wako.
4.Kupenda kuanzisha familia na mwenza wako.
Sababu zisizo na mashikoni hizi
1.Umri umeenda.
2.Wenzangu wanafunga ndoa (mkumbo).
3.Ana hela (gari, nyumba) acha nioelewe/nimuoe.
4.Ni mzuri wa sura.
5.Ana umbo zuri (msambwanda, six pack n.k)
6. Shindikizo la familia.
7.Kupenda shamrashamra za Harusi.
8.Yeye ni maarufu
Nyingine weka hapo chini
Wee wakikugegedea mke ndionutakuja kujiua...kaka haonwee chukulia kama burudani...wako wakati unamgegeda wewe baada ya hapo lolote linaweza kutokea
Huu ni utoto...ukamuue mwanaume mwenzio kisa papuchi....huo ufala wa halinya juu.
Hujaoa bado. Ni hayo tuHuu ni utoto...ukamuue mwanaume mwenzio kisa papuchi....huo ufala wa halinya juu.
Mkee sii kapanua mwenyewe mipaja. Its her punani wee ukioa u just renting lakini sio mali yako ni ya kwake anaweza mpea yoyote apendaye
πππMimi nina wivu wa kiarabu, bora nimfunike na msimuone hata sura [emoji23], na sokoni naenda mwenyewe [emoji41]
Has nothing with kuoa au kuto kuoa. Its just simple common sense. Trust ur wife but know she human afterall. Kama wee mwanaume unaweza chepuka na mkeo pia anaweza chepuka .Hujaoa bado. Ni hayo tu
Kua uyaone mkuu, achana na ndoa za kwenye keyboard. After all usidhani kila mwanamume anafikiri kama wewe. Wako wanaume wenye busara na mapenzi ya kweli kwa wake zao, hao hawana muda wa kuwa na mtazamo dhaifu kama wako. Hujafikia akili ya kuwa na mke hivyo huwezi kuyajua yavndoa, una mtazamo wa kisela halafu unaufananisha na ndoa. NDOA SIO TAASISI YA KIPUUZI MKUU.Has nothing with kuoa au kuto kuoa. Its just simple common sense. Trust ur wife but know she human afterall. Kama wee mwanaume unaweza chepuka na mkeo pia anaweza chepuka .
Nitakuwa nagonga kwa siku mara 3....the biggest lie of all.