Sababu za Harmonize kumuacha kimuziki Ali Kiba

Sababu za Harmonize kumuacha kimuziki Ali Kiba

sangujoseph

Senior Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
164
Reaction score
184
.
By Sangu Joseph
.
Kwenye Uchambuzi wangu nimeeleza huenda Alikiba akashushwa kimuziki na Konde Boy Harmonize, Kwa sababu Tu wanaomsupport Kiba ndiyo haohao wanaomsapoti Konde Boy.

Kitakachokuja kutokea ni kugawana wadau na Konde atakua nso wengi zaidi Kwa sababu yeye anaproject nyingi Sana, kuliko Kiba, Anakolabo kama zote. na Msanii wake Ibraah TZ anampa promo la Hatari Sana.
.
Kwanini nasema watagwana nikupe Mfano, Radio A wanapiga Ngoma za Kiba na Konde lakini hawampigi Chibu hivyo anayesikiliza Radio A atachagua amshabikie Kiba au Konde Kwa sababu Mondi hayupo kwenye Choice

 
Mkuu sio lazima uanzishe thread Kama huna mada yenye mashiko!! Waache vijana wapambane na mziki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom