......2020 jimbo la arusha mjini ni mali ya ccm asubuhi na mapemaa.
Mmaaana kama uongozi wenyewe ni huu wa kutumia ndoto? Time will tell.
Maccm mna matatizo MAKUBWA sana kwenye akili zenu! Unaweza kutueleza Hypothesis ya Utafiti wako kwa kifupi?Ndugu wana jf nimefanya utaft binafsi nimegundua umaarufu wa wa lema umetoeka ghafla baada ya kutoka gerezani!
Sababu:
1. Kutoka maabusu uchafuni na kujiamulia mwenyewe kuwasamehe wabaya wake bila ridhaa ya sisi watanzania, as if alikuwa anaumia pekee yake na familia yake akiwa maabusu uchafuni.
2. Kutoka na kuingia moja kwa moja kwenye mambo ya kiroho as if alikuwa maabusu wa kiroho, sio wa kisiasa.
Hapa bavicha wamewekwa njia panda
CDM njia panda
Wanajimbo la Arusha njia panda
Mpaka na wapinzani wake wamewekwa mdomo wazi.
3. Kutoka uchafuni na kusema hana kinyongo na mtu as if mle ndani maabusu alikuwa paradiso au casino.
Hapa sasa kapunguza mzuka wa makanda wapinaji, katukatisha tamaa,
Makomandoo wake wameugua ghafla
4. Kutoka na kumuandikia rais walaka badala kuitisha mkutano arusha mjini ausome mbele ya makamanda, rais ausikie tu magezetini na redioni
Kumpelekea walaka rais ni sawa na kujisalmisha kwa wapinzani wake (CCM)
5. Kutoka na kuanza kuhubiri hapa kawapoteza makamanda wapagani na waislam kwani wamedhani ni mambo ya kikristo (kiroho) swala la lema. Umaarufu umepungua
6. Kutoka na kumruhusu wema nyumbani kwake imempunguzia umaarufu kwani watanzania wengi wanadhani ataanza kupiga vyombo!
7.hivyo kutoka kwa lema gerezani kwa mpunguzia umaarufu toka makundi mbalimbali
8. Kwa sababu hizo ametoa mwanya kwa CCM kuchukua jimbo asubuhi tu kabla ya mbwa kwenda msalani
Kati yake na Bashite nani kapoteza dira?haa haa kwa kiasi fulani mtoa mada uko sahihi japo utabezwa. lema kwa namna moja ama nyingine kapoteza dira.....
Mimi naoa kama amepata akili! Ameelewa mbichi na mbivu!haa haa kwa kiasi fulani mtoa mada uko sahihi japo utabezwa. lema kwa namna moja ama nyingine kapoteza dira.....
Ndugu wana jf nimefanya utaft binafsi nimegundua umaarufu wa wa lema umetoeka ghafla baada ya kutoka gerezani!
Sababu:
1. Kutoka maabusu uchafuni na kujiamulia mwenyewe kuwasamehe wabaya wake bila ridhaa ya sisi watanzania, as if alikuwa anaumia pekee yake na familia yake akiwa maabusu uchafuni.
2. Kutoka na kuingia moja kwa moja kwenye mambo ya kiroho as if alikuwa maabusu wa kiroho, sio wa kisiasa.
Hapa bavicha wamewekwa njia panda
CDM njia panda
Wanajimbo la Arusha njia panda
Mpaka na wapinzani wake wamewekwa mdomo wazi.
3. Kutoka uchafuni na kusema hana kinyongo na mtu as if mle ndani maabusu alikuwa paradiso au casino.
Hapa sasa kapunguza mzuka wa makanda wapinaji, katukatisha tamaa,
Makomandoo wake wameugua ghafla
4. Kutoka na kumuandikia rais walaka badala kuitisha mkutano arusha mjini ausome mbele ya makamanda, rais ausikie tu magezetini na redioni
Kumpelekea walaka rais ni sawa na kujisalmisha kwa wapinzani wake (CCM)
5. Kutoka na kuanza kuhubiri hapa kawapoteza makamanda wapagani na waislam kwani wamedhani ni mambo ya kikristo (kiroho) swala la lema. Umaarufu umepungua
6. Kutoka na kumruhusu wema nyumbani kwake imempunguzia umaarufu kwani watanzania wengi wanadhani ataanza kupiga vyombo!
7.hivyo kutoka kwa lema gerezani kwa mpunguzia umaarufu toka makundi mbalimbali
8. Kwa sababu hizo ametoa mwanya kwa CCM kuchukua jimbo asubuhi tu kabla ya mbwa kwenda msalani
Ndugu wana jf nimefanya utaft binafsi nimegundua umaarufu wa wa lema umetoeka ghafla baada ya kutoka gerezani!
Sababu:
1. Kutoka maabusu uchafuni na kujiamulia mwenyewe kuwasamehe wabaya wake bila ridhaa ya sisi watanzania, as if alikuwa anaumia pekee yake na familia yake akiwa maabusu uchafuni.
2. Kutoka na kuingia moja kwa moja kwenye mambo ya kiroho as if alikuwa maabusu wa kiroho, sio wa kisiasa.
Hapa bavicha wamewekwa njia panda
CDM njia panda
Wanajimbo la Arusha njia panda
Mpaka na wapinzani wake wamewekwa mdomo wazi.
3. Kutoka uchafuni na kusema hana kinyongo na mtu as if mle ndani maabusu alikuwa paradiso au casino.
Hapa sasa kapunguza mzuka wa makanda wapinaji, katukatisha tamaa,
Makomandoo wake wameugua ghafla
4. Kutoka na kumuandikia rais walaka badala kuitisha mkutano arusha mjini ausome mbele ya makamanda, rais ausikie tu magezetini na redioni
Kumpelekea walaka rais ni sawa na kujisalmisha kwa wapinzani wake (CCM)
5. Kutoka na kuanza kuhubiri hapa kawapoteza makamanda wapagani na waislam kwani wamedhani ni mambo ya kikristo (kiroho) swala la lema. Umaarufu umepungua
6. Kutoka na kumruhusu wema nyumbani kwake imempunguzia umaarufu kwani watanzania wengi wanadhani ataanza kupiga vyombo!
7.hivyo kutoka kwa lema gerezani kwa mpunguzia umaarufu toka makundi mbalimbali
8. Kwa sababu hizo ametoa mwanya kwa CCM kuchukua jimbo asubuhi tu kabla ya mbwa kwenda msalani
No research no right to speak.Ndugu wana jf nimefanya utaft binafsi nimegundua umaarufu wa wa lema umetoeka ghafla baada ya kutoka gerezani!
Sababu:
1. Kutoka maabusu uchafuni na kujiamulia mwenyewe kuwasamehe wabaya wake bila ridhaa ya sisi watanzania, as if alikuwa anaumia pekee yake na familia yake akiwa maabusu uchafuni.
2. Kutoka na kuingia moja kwa moja kwenye mambo ya kiroho as if alikuwa maabusu wa kiroho, sio wa kisiasa.
Hapa bavicha wamewekwa njia panda
CDM njia panda
Wanajimbo la Arusha njia panda
Mpaka na wapinzani wake wamewekwa mdomo wazi.
3. Kutoka uchafuni na kusema hana kinyongo na mtu as if mle ndani maabusu alikuwa paradiso au casino.
Hapa sasa kapunguza mzuka wa makanda wapinaji, katukatisha tamaa,
Makomandoo wake wameugua ghafla
4. Kutoka na kumuandikia rais walaka badala kuitisha mkutano arusha mjini ausome mbele ya makamanda, rais ausikie tu magezetini na redioni
Kumpelekea walaka rais ni sawa na kujisalmisha kwa wapinzani wake (CCM)
5. Kutoka na kuanza kuhubiri hapa kawapoteza makamanda wapagani na waislam kwani wamedhani ni mambo ya kikristo (kiroho) swala la lema. Umaarufu umepungua
6. Kutoka na kumruhusu wema nyumbani kwake imempunguzia umaarufu kwani watanzania wengi wanadhani ataanza kupiga vyombo!
7.hivyo kutoka kwa lema gerezani kwa mpunguzia umaarufu toka makundi mbalimbali
8. Kwa sababu hizo ametoa mwanya kwa CCM kuchukua jimbo asubuhi tu kabla ya mbwa kwenda msalani
Ndoto2020 jimbo la arusha mjini ni mali ya ccm asubuhi na mapemaa.
Mmaaana kama uongozi wenyewe ni huu wa kutumia ndoto? Time will tell.
Kama Lema atapoteza ramani wananchi tutamsaidia kuitafuta na kumkabidhi kama tulivyohuzunika naye alipokuwa gerezani baada ya kutoka gerezani tulifurahi pamoja na tutasonga mbele pamoja kwa kutumia ramani mpya.Ndugu wana jf nimefanya utaft binafsi nimegundua umaarufu wa wa lema umetoeka ghafla baada ya kutoka gerezani!