Sababu za copy and paste ya Rais Samia kushidwa

Sababu za copy and paste ya Rais Samia kushidwa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,269
Reaction score
13,897
Rais Samia na wapambe wake wanashangazwa na hawaelewi kwanini kwanini copy na paste mambo ya Magufuli hawaendi kama wakati wa Hayati Magu

1. Watanzania wamesha elimika zaidi

2. Kushidwa kuzuia rushwa kama wakati wa Magufuli . Watanzania walikuwa wanaona hilo

3. Mitandao imeongeza uwazi wa habari sana na sasa ni rahisi kuliko miaka ya Magufuli

4. Kuna Watanzania hasa kanda ya ziwa walikuwa wanampenda Magufuli kwasbabu ya ukabila na hawakuweka kuangalia sera zake. Mama wa kizimkazi hawataweza kukuelewa kama Magu

5. Uchawa umeongezeka na Mama anapenda uchawa wakati Magu alikuwa hapendi

6. Mama Samia hana msimamo na wengi hawajui anaamini nini wakati Magu alikuwa na msimamo

7. Mama Samia hapendi ziara na kukutana na watu wakati Magu alipenda kuongea na watu wa chini

8. Kila mtu sasa anajua watekaji ni Polisi na usalama. Wakati wa Magu kuna ambao walikuwa wanahoji

9. Mama Samia ni mvivu zaidi ya Magufuli

10. Vyombo vya usalama vina dharau uongozi wa Mama Samia kuliko huko nyuma. Wana puuza mpaka amri zake
 
Mpaka "sacap" Mul iro alikuwa anatenda atakavyo Sasa tusubiri ya huyu wa Sativa.
 
Back
Top Bottom