Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,708
- 49,723
Atakuibia mpaka mchangaKivipi
Atakuibia mpaka mchangaKivipi
Si kweli mbona nchini Kuna jambazi kuu la kisukumaAtakuibia mpaka mchanga
😂😂😂😂😂😂hpo mwisho nimecheka kifara san..!! Nawaza na zile rubega jinsi anavyokimbia.Sababu hapo ni very simple. Wamasai huwa wanatamaduni ya kukutana na simba kupambana nae ili kuprove uwezo wao......so hii imewajengea picha ya ushujaa kuwa kama mtu anaweza pambana na simba basi hawezi shindwa pambana na binadamu......
Balaa lake ukipiga risasi hewani huwa wanatoka nduki
Ha ha haUkitaka kulia kilio kitakatifu mwajiri Mchaga awe mlinzi.
Wahaya, wachagaSI unit ya ufisadi ni kabila gani vile!