Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,733
- 61,257
Tunawapenda sana wake zetu na tunawajali,na haitatokea kuachana nao sababu ya michepuko.Tunawatafuta nyie kwa sababu bi mkubwa anakuwa ameelemewa na majukumu inakuwa ngumu kuhimili nguvu za me.Michepuko mpo kwa ajili ya kula bata tu na mashine,na msijaribu kufanya mapinduzi kwa bi mkubwa.