Sababu ya jeshi la Marekani bendera na nembo zao kuwa na picha ya ndege mbabe Tai

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,906
51,909
Sababu ya jeshi la Marekani bendera na nembo zao kuwa na picha ya ndege mbabe Tai

Tai ni ndege mwenye nguvu na uwezo mkubwa wa kuona vitu vikivyo chini kutokea Angani

Ardhini kuna wababe kama simba na Tembo na watu wababe

Majini kuna Nyangumi.

Marekani kuanzia mwaka 1700 waliamua Jeshi lao kuwa la kifalme angani Wakaanza kujizatiti barabara kujenga Jeshi la anga.

Ukigombana na mmarekani haanzii ardhini wala kwenye maji ataanza kukutwanga kutokea angani ana mindege ya kivita ya hatari mingine hata.mchana huwezi ona ili kombora utakiona likitua kwako

Akishakupiga barabara chini kutokea angani ndio anaanza kukushambulia aridhini kwa makombora ya kutokea nchi kavu na majini ya masafa marefu ,huku ndege zake za kivita zikiwinda ndege za adui popote zilipo angani na kuzishambulia huko huko angani.Yaani ndege na ndege huku kwa chini aridhini askari wakiwa nao na mikombora ya kutungua ndege angani wakilenga ndege ya adui angani

Kwa hiyo ndege za adui hushambuliwa huko huko angani na pia na wavurumusha mikombora walioko ardhini

Mmarekani akiingia vita mahali cha kwanza ni kukamata anga ili kuwa na air space superiority

Ukraine mfano Jeshi la Marekani baada ya kupeleka msaada wa kivita wa anga ukraine ndege za vita za Urusi zimeufyata haziruki kushambulia Ukraine sababu wanajua ndio mwisho wao
Upande wa vita angani Ukraine imelikamata anga kwa msaada wa Marekani.Ukraine ins air space superiority kivita

Ushindi wa kwanza kwa Ukraine ni kukamata anga .
 
Akishakupiga barabara chini kutokea angani ndio anaanza kukushambulia aridhini kwa makombora ya kutokea nchi kavu na majini ya masafa marefu ,huku ndege zake za kivita zikiwinda ndege za adui popote zilipo angani na kuzishambulia huko huko angani.Yaani ndege na ndege huku kwa chini aridhini askari wakiwa nao na mikombora ya kutungua ndege angani wakilenga hedge ya adui angani

Sawa YEHODAYAVICHENKO kutoka Cherkas,Ukraine
 
Wewe upuuzi wako huu hauachi? Unadhamia Russia ni Chadema😂😂😂
 
NATO leaders announced on Friday a military redeployment of its land, sea and air forces to reinforce its frontline in response to Russia’s war in Ukraine.

The US-led defence organisation is “now making significant additional defensive deployments of forces to the eastern part of the Alliance,” it said in a statement on closing a special summit of its 30 member states.

President Vladimir Putin has made “a terrible strategic mistake, for which Russia will pay a severe price, both economically and politically, for years to come,” the Alliance added.
 
Sababu ya jeshi la Marekani bendera na nembo zao kuwa na picha ya ndege mbabe Tai

Tai ni ndege mwenye nguvu na uwezo mkubwa wa kuona vitu vikivyo chini kutokea Angani

Ardhini kuna wababe kama simba na Tembo na watu wababe

Majini kuna Nyangumi.

Marekani kuanzia mwaka 1700 waliamua Jeshi lao kuwa la kifalme angani Wakaanza kujizatiti barabara kujenga Jeshi la anga.

Ukigombana na mmarekani haanzii ardhini wala kwenye maji ataanza kukutwanga kutokea angani ana mindege ya kivita ya hatari mingine hata.mchana huwezi ona ili kombora utakiona likitua kwako

Akishakupiga barabara chini kutokea angani ndio anaanza kukushambulia aridhini kwa makombora ya kutokea nchi kavu na majini ya masafa marefu ,huku ndege zake za kivita zikiwinda ndege za adui popote zilipo angani na kuzishambulia huko huko angani.Yaani ndege na ndege huku kwa chini aridhini askari wakiwa nao na mikombora ya kutungua ndege angani wakilenga ndege ya adui angani

Kwa hiyo ndege za adui hushambuliwa huko huko angani na pia na wavurumusha mikombora walioko ardhini

Mmarekani akiingia vita mahali cha kwanza ni kukamata anga ili kuwa na air space superiority

Ukraine mfano Jeshi la Marekani baada ya kupeleka msaada wa kivita wa anga ukraine ndege za vita za Urusi zimeufyata haziruki kushambulia Ukraine sababu wanajua ndio mwisho wao
Upande wa vita angani Ukraine imelikamata anga kwa msaada wa Marekani.Ukraine ins air space superiority kivita

Ushindi wa kwanza kwa Ukraine ni kukamata anga .
Hakuna vita kubwa US akipagana akatawala anga, labda hizi vamizi za vinchi vidogo. US ilipoenda Japan second world war alidrop nuclear lkn sio kwamba alitawala anga la Japan.

US haikwenda Ujerumani ya wakati huo ambayo ndiyo ilikua na ndege kama zote, leo unatuaminishaje kua US ni air space superiority?
 
Wewe mtumwa wa historia
Unaongelea Miaka zaidi ya 50 iliyopita

Mada yangu nimesema waliamua kujenga Jeshi la anga lenye nguvu ok

Ndege ziligunduliwa miaka ya 1900 lakini wao vision ya Tai wali conceive Miaka ya 1700

Wakaanza kudelelop teknolojia

Ikaanza kulipa Miaka ya 2000 baadaye kwenye vita Kutwangana na Saddam Husseni ,arab spring ikiwemo libya nk

Ni kuwa baada ya Miaka 300 toka 1700 leo tuko Miaka ya 2000 objective yao imefanikiwa kuwa na air space war superiority .Wali concentrate kwenye objective yao na Result ya vision ya mwaka 1700 wamefanikiwa baada ya Miaka 300
 
Kuandika namna hii kama insha kwenye jukwaa la watu timamu na ufatiliaji si sawa,na naamini ungeweza kufanya bora zaidi ya hivi.
Njoo na takwimu kamili za jeshi la anga la marekani ili superiority ya mmarekani iwe wazi.
Asante kwa kutuambia kwanini anatumia tai km nembo yake

Ushindi wa kwanza kwa Ukraine ni kukamata anga
 
Wewe mtumwa wa historia
Unaongelea Miaka zaidi ya 50 iliyopita

Mada yangu nimesema waliamua kujenga Jeshi la anga lenye nguvu ok

Ndege ziligunduliwa miaka ya 1900 latino wao vision ya Tai wali conceive Miaka ya 1700

Wakaanza kudelelop teknolojia

Ikaanza kulipa Miaka ya 2000 baadaye kwenye vita Kutwangana na Saddam Husseni ,arab spring ikiwemo libya nk

Ni kuwa baada ya Miaka 300 toka 1700 leo tuko Miaka ya 2000 objective yao imefanikiwa kuwa na air space war superiority .Wali concentrate kwenye objective yao na Result ya vision ya mwaka 1700 wamefanikiwa baada ya Miaka 300
Anawezaje kuwa na superiority bila ya kuwa na reference?
Wew unafikiri kwa nin UN security council kwa ulaya ziliingia UK, France na Russia?
Moja ya vigezo kwa taarifa yako, nchi hizi zilipigana vita nyingi huko wayback zikashinda.
 
Kuandika namna hii kama insha kwenye jukwaa la watu timamu na ufatiliaji si sawa,na naamini ungeweza kufanya bora zaidi ya hivi.
Njoo na takwimu kamili za jeshi la anga la marekani ili superiority ya mmarekani iwe wazi.
Asante kwa kutuambia kwanini anatumia tai km nembo yake
Unaelewa maana ya vision

Conception ya Marekani kuwa wanataka ku dominate air space war wali conceive Miaka ya 1700 kabla hata ndege hazijagunduliwa.na Wright brothers

Lakini wali concentrate kwenye vision yao bila kuyumba kwa Miaka 300 wakihangaika how to dominate air space wars wakirithishana vision generation to generation na Tai akiwa symbol ya vision yao to remind every American generation their goal

Baada ya Miaka 300 miaka ya 2000 ilipofika ndoto zao zikatimia zikawa reality

Sasa hivi hakuna mwenye air space war superiority kama mmarekani
 
Ndege ziligunduliwa miaka ya 1900 lakini wao vision ya Tai wali conceive Miaka ya 1700

Wakaanza kudelelop teknolojia

Ikaanza kulipa Miaka ya 2000 baadaye kwenye vita Kutwangana na Saddam Husseni ,arab spring ikiwemo libya nk

Ni kuwa baada ya Miaka 300 toka 1700 leo tuko Miaka ya 2000 objective yao imefanikiwa kuwa na air space war superiority .Wali concentrate kwenye objective yao na Result ya vision ya mwaka 1700 wamefanikiwa baada ya Miaka 300
YEHODAYA
Unaongea vitu sensitive sana lakini sioni ukweli wowote. Pengine tupe statistics sources. Vinginevyo uko biased tu na Propaganda za Western.
 
Unaelewa maana ya vision

Conception ya Marekani kuwa wanataka ku dominate air space war wali conceive Miaka ya 1700 kabla hata ndege hazijagunduliwa.na Wright brothers

Lakini wali concentrate kwenye vision yao bila kuyumba kwa Miaka 300 wakihangaika how to dominate air space wars wakirithishana vision generation to generation na Tai akiwa symbol ya vision yao to remind every American generation their goal

Baada ya Miaka 300 miaka ya 2000 ilipofika ndoto zao zikatimia zikawa reality

Sasa hivi hakuna mwenye air space war superiority kama mmarekani
Its not a matter of vision mkuu,ni evidence kusaport andiko lako
 
Wewe mtumwa wa historia
Unaongelea Miaka zaidi ya 50 iliyopita

Mada yangu nimesema waliamua kujenga Jeshi la anga lenye nguvu ok

Ndege ziligunduliwa miaka ya 1900 lakini wao vision ya Tai wali conceive Miaka ya 1700

Wakaanza kudelelop teknolojia

Ikaanza kulipa Miaka ya 2000 baadaye kwenye vita Kutwangana na Saddam Husseni ,arab spring ikiwemo libya nk

Ni kuwa baada ya Miaka 300 toka 1700 leo tuko Miaka ya 2000 objective yao imefanikiwa kuwa na air space war superiority .Wali concentrate kwenye objective yao na Result ya vision ya mwaka 1700 wamefanikiwa baada ya Miaka 300
... hivi sisi tuna vision yoyote ya maana? Ya hata miaka 25 ijayo? At least basi tatizo la matundu ya vyoo mashuleni itakuwa historia!
 
Nchi za wenzetu hata family business level wanakuwa na vision hata ya Miaka 100 mbele hata awe na genge

Ndio maana biashara za weupe wawe waarabu au wahindi au wazungu utaikuta ilianzishwa miaka 100 ilyopita bado ipo ya waswahili akifa aliyeanzisha nayo inakufa wanawe watakuwa wanahangaika kutafuta ajira serikalini

Mitoto ya mifanyabuasha na mifisadi yenye hiyo mikubwa serikalini mikubwa mitoto yao kibao imeajiriwa serikalini sababu wazazi hawana vision ya kuwarithisa watoto wa take over business wa run wakiwa hai wao wawe moderators na washauri

Wakifa na business kwa heri sasa huwa najiuliza mtj mwizi mkubwa serikalini mafisadi mpaka basi inakuwaje mitoto yake inagombea ajira serikalini au vyeo vya kisiasa si yakasimamie mali za wazazi wao wafanyabiashara wakubwa au wezi na vibaka walioibia watanzania.? Mbona mitoto yao choka mbaya inagombania Akira na vyeo vya kisiasa? Hiyo mizazi yao mijizi au mifanyabiashara mikubwa Haina cha kulipa.mitoto yao iendeleze vision zao?

Hakuna siku niliumia kama siku mbunge wa Kahama mfanyabiashara mkubwa mwenye Imalaseko supermarket nk akilalamika kuwa mwanawe kamaliza digrii chuo kikuu na Serikali haijampa ajira!! Nilichoka hadi Nikajisemea Huyo mzee Akifa na utajiri wake unakufa harithishi vision ya business watoto wala kuwapa nafasi waendeshe kampuni

Binafsi niseme wazi sijawahi ona Tajiri mjinga.kama Kishimba mbunge wa Kahama ambaye anaanika hadi ujinga wake bungeni

Mzee ana business kibao anashindwa kuajiri wanae kweli?
 
Sababu ya jeshi la Marekani bendera na nembo zao kuwa na picha ya ndege mbabe Tai

Tai ni ndege mwenye nguvu na uwezo mkubwa wa kuona vitu vikivyo chini kutokea Angani

Ardhini kuna wababe kama simba na Tembo na watu wababe

Majini kuna Nyangumi.

Marekani kuanzia mwaka 1700 waliamua Jeshi lao kuwa la kifalme angani Wakaanza kujizatiti barabara kujenga Jeshi la anga.

Ukigombana na mmarekani haanzii ardhini wala kwenye maji ataanza kukutwanga kutokea angani ana mindege ya kivita ya hatari mingine hata.mchana huwezi ona ili kombora utakiona likitua kwako

Akishakupiga barabara chini kutokea angani ndio anaanza kukushambulia aridhini kwa makombora ya kutokea nchi kavu na majini ya masafa marefu ,huku ndege zake za kivita zikiwinda ndege za adui popote zilipo angani na kuzishambulia huko huko angani.Yaani ndege na ndege huku kwa chini aridhini askari wakiwa nao na mikombora ya kutungua ndege angani wakilenga ndege ya adui angani

Kwa hiyo ndege za adui hushambuliwa huko huko angani na pia na wavurumusha mikombora walioko ardhini

Mmarekani akiingia vita mahali cha kwanza ni kukamata anga ili kuwa na air space superiority

Ukraine mfano Jeshi la Marekani baada ya kupeleka msaada wa kivita wa anga ukraine ndege za vita za Urusi zimeufyata haziruki kushambulia Ukraine sababu wanajua ndio mwisho wao
Upande wa vita angani Ukraine imelikamata anga kwa msaada wa Marekani.Ukraine ins air space superiority kivita

Ushindi wa kwanza kwa Ukraine ni kukamata anga .
Movies za akina Rambo na chekinoris zinakudanganya mkuu
 
Hakuna vita kubwa US akipagana akatawala anga, labda hizi vamizi za vinchi vidogo. US ilipoenda Japan second world war alidrop nuclear lkn sio kwamba alitawala anga la Japan.

US haikwenda Ujerumani ya wakati huo ambayo ndiyo ilikua na ndege kama zote, leo unatuaminishaje kua US ni air space superiority?
Lkn pia kisa cha USA kupiga atomiki Japan,jeshi lake liliangamizwa na majeshi ya Japan,hivyo mtu anapokuja na suala la propoganda za kipuuzi,unashangaa sana,
 
Hakuna vita kubwa US akipagana akatawala anga, labda hizi vamizi za vinchi vidogo. US ilipoenda Japan second world war alidrop nuclear lkn sio kwamba alitawala anga la Japan.

US haikwenda Ujerumani ya wakati huo ambayo ndiyo ilikua na ndege kama zote, leo unatuaminishaje kua US ni air space superiority?
Merican walipo wa-bomb Japanese hapa unazungumzia zaidi ya miaka 70 mkuu so wakati huo siyo sawa na huu tuliopo pia 70 yrs kwenye teknolojia ni miaka mingi sana.
 
Wewe mtumwa wa historia
Unaongelea Miaka zaidi ya 50 iliyopita

Mada yangu nimesema waliamua kujenga Jeshi la anga lenye nguvu ok

Ndege ziligunduliwa miaka ya 1900 lakini wao vision ya Tai wali conceive Miaka ya 1700

Wakaanza kudelelop teknolojia

Ikaanza kulipa Miaka ya 2000 baadaye kwenye vita Kutwangana na Saddam Husseni ,arab spring ikiwemo libya nk

Ni kuwa baada ya Miaka 300 toka 1700 leo tuko Miaka ya 2000 objective yao imefanikiwa kuwa na air space war superiority .Wali concentrate kwenye objective yao na Result ya vision ya mwaka 1700 wamefanikiwa baada ya Miaka 300
Hiyo nguvu yao umeipimaje?
 
Back
Top Bottom