Tongo Elamu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 2,904
- 4,407
Kuangalia idadi ya wajane vs wagane kama kigezo cha wanaume wengi kuuawa na wanawake siyo kigezo sahihi.Kundi linaloongoza kuua wenza wao katika ndoa ni wanawake, wanaume wengi sana wamekufa katika ndoa zao kwa kigezo tu cha 'kulea' watoto kwenye ndoa ambazo zilishavunjika mioyoni, hao wanaochukua sheria mkononi ni wachache sana. Ukitaka kuthibitisha hili tazama idadi ya wajane vs. Wagane
Usioe mwanamke ambaye unaona na unaamini Hana akiliMwanamke kama hana akili unaishi naye vipi
mama DTena akili zote mbili
Za rohoni na za mwilini🙏
ExtrovertMwanamke kama hana akili unaishi naye vipi
Kaka pembeAkili ni nini? Makundi yote hayo yana akili sana lakini matukio haya hutokea maana unakuta wameathiriwa na moja kati ya vitu vilivyoainishwa hapo juu.
Muulize yule Me aliyesema yuko tayari kuishi na Ke yeyote mwenye chura hata kama hana akili watatumia akili za Me kutusua maisha [emoji38]Mwanamke kama hana akili unaishi naye vipi
[emoji23]Sababu ya kwanza mpaka ya nne ni USALITI tu.
Wanawake wanawaua wanaumme kimya kimya ,wanawawekea madawa ya kuwaua taratibu.
Kuna dawa ukiwekewa m/mme kwenye chakula auchukui miezi mi3 lazima "URUDISHE NAMBA".
Utaishi nae kwa kutumia AKILI zako kama Mwanaume...Mwanamke kama hana akili unaishi naye vipi
Naunga mkono ingawa jamiii inakuona n bahiri kuishi bila mwanamkeBasi tu ni mifumo ya Duniani but kuishi mwenyewe ni raha kuliko kuishi na Mwanamke,Wanawake ni stress sana.
mungu wanguuu. Ni ya kweli haya??? Sasa kama kuna dawa za kuua taratibu(miezi 3), hivi hakuna za kuua hata kwa miaka 2 ili kupoteza kabisa ushahidi?Sababu ya kwanza mpaka ya nne ni USALITI tu.
Wanawake wanawaua wanaumme kimya kimya ,wanawawekea madawa ya kuwaua taratibu.
Kuna dawa ukiwekewa m/mme kwenye chakula auchukui miezi mi3 lazima "URUDISHE NAMBA".
Na hizo dawa hao ke wanazipata wapi?Sababu ya kwanza mpaka ya nne ni USALITI tu.
Wanawake wanawaua wanaumme kimya kimya ,wanawawekea madawa ya kuwaua taratibu.
Kuna dawa ukiwekewa m/mme kwenye chakula auchukui miezi mi3 lazima "URUDISHE NAMBA".
Ya kweli mkuu....zipo nyingi sana wanatumia watu wasiojulikana kuwamaliza wasaliti.mungu wanguuu. Ni ya kweli haya??? Sasa kama kuna dawa za kuua taratibu(miezi 3), hivi hakuna za kuua hata kwa miaka 2 ili kupoteza kabisa ushahidi?
Dawa ni ku date au kuoa wenye hofu ya Mungu,watu waache kuoa malaya na kuokoteza okoteza wanawake
Wanaambiwa na waganga.Na hizo dawa hao ke wanazipata wapi?