Sehemu Kama hizo ndipo Nape hupata Fursa ya kupiga Pesa za ccm hutumia fursa kupenyeza fitna kwa kuwanunua watu Kwa kiwango cha chini kuliko kile kiasi cha pesa alichopewa hupiga Panga ingawa kinana anajua lakini kaamua kuuchuna, Nape sasa ni kipindi chake cha kupiga pesa Kwa kisingizio kuwakoroga Ukawa.