Mkuu Hongoli umenena vyema, big up sana. Huu uzi umetulia sana. Sina cha kuongezea.
Ongezea hiki : ccm sasa hv Nape kawapelekea Bajeti yake ili wampe pesa za kuwanunua Ukawa na kuwavuruka, kuwachonganisha mpaka umoja wao uvunjike ili iwe rahisi kumnadi Magufuli kwani Nape anajua Magufuli ana kazi kubwa kutokana Ukawa kujipanga kumkabili kisawasawa .