Sababu Tatu Kuntu za Young African Kushinda mechi ya leo vs Polisi Tanzania

Assalam aleykhum,

Jana nilitoa prediction kati ya Simba na Al Merekh ambayo ilitimia kwa 56%. Leo Yanga Timu ya wananchi wataibuka na ushindi kwa sababu hizi;
  • Yanga wana presha ya kubeba ubingwa hivyo wachezaji wana morali na mood ya hali ya juu
  • Mechi iliyopita Wananchi walipoteza hivyo hawana huo ujinga wa kupoteza tena.
  • Mechi hii ina athari kwa Cedric Kaze hivyo sio rahisi kwake akubali apoteze tenaaa.

Ft: Timu ya Wanachi 2 vs polisi 0

# Magema Jr
SportsFire
Yaani ni vile tu tunaogopa kukufuru... ila samtaimz mtu huwa unajiuliza kwanini wababa wengine hawakutumia condom?
 
Assalam aleykhum,

Jana nilitoa prediction kati ya Simba na Al Merekh ambayo ilitimia kwa 56%. Leo Yanga Timu ya wananchi wataibuka na ushindi kwa sababu hizi;
  • Yanga wana presha ya kubeba ubingwa hivyo wachezaji wana morali na mood ya hali ya juu
  • Mechi iliyopita Wananchi walipoteza hivyo hawana huo ujinga wa kupoteza tena.
  • Mechi hii ina athari kwa Cedric Kaze hivyo sio rahisi kwake akubali apoteze tenaaa.

Ft: Timu ya Wanachi 2 vs polisi 0

# Magema Jr
SportsFire
unajipiga kidole afu unanusa mwenyewe..
 
Mqema hauna hata aibu!! Jana ulikimbia uzi na leo umekimbia uzi wako mwenyewe!! Ni mtu mwenye kichwa kama cha mwendawazimu tu ndiye anaweza kuweka shilingi yake kuwa utopolo!!
 
Kidimbwi kimetibuliwa huko
IMG-20210307-WA0024.jpg
IMG-20210307-WA0023.jpg
 
Huu ndio utabiri wa Magema Jr anaodai umetimia kwa asilimia 56:
- Red card kutolewa
-Sare ya magoli
-Simba kufungwa kabisa!
Hakuna hata moja Kati ya hayo matatu yaliyotokea. Utabiri umefanikiwa kwa asilimia sifuri, 0%!
Leo pia utabiri wako umefanikiwa kwa asilimia sifuri, 0%!!
Inabidi uwe na kichwa kama cha mwendawazimu kuweka shilingi yako kwa utopolo!!
 
Hilo goli lingekuwa la polisi utopolo wangeitisha press conference na kutishia kujitoa!! Renzo na Magema mpo?
 
Assalam aleykhum,

Jana nilitoa prediction kati ya Simba na Al Merekh ambayo ilitimia kwa 56%. Leo Yanga Timu ya wananchi wataibuka na ushindi kwa sababu hizi;
  • Yanga wana presha ya kubeba ubingwa hivyo wachezaji wana morali na mood ya hali ya juu
  • Mechi iliyopita Wananchi walipoteza hivyo hawana huo ujinga wa kupoteza tena.
  • Mechi hii ina athari kwa Cedric Kaze hivyo sio rahisi kwake akubali apoteze tenaaa.

Ft: Timu ya Wanachi 2 vs polisi 0

# Magema Jr
SportsFire
Fala la mpira
 
Mqema hauna hata aibu!! Jana ulikimbia uzi na leo umekimbia uzi wako mwenyewe!! Ni mtu mwenye kichwa kama cha mwendawazimu tu ndiye anaweza kuweka shilingi yake kuwa utopolo!!
Mkuu japo kuteleza si kuanguka,lakin naamini nimefail katika hili,japo upumbafu wa wananchi umenifelisha katika hili... any way, Kwa heshima ya mchezo wa soka,naomba kustaafu kwa mda maswala haya🤔😐
 
Ahsante kwa kufuatilia Nyuzi zangu..
Nasitaafu kwa mda jamani.. Nimejisikia vibaya hataree 😞😞
 
Back
Top Bottom