Sababu Tatu Kuntu za Young African Kushinda mechi ya leo vs Polisi Tanzania

Magema Jr

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
1,299
1,201
Assalam aleykhum,

Jana nilitoa prediction kati ya Simba na Al Merekh ambayo ilitimia kwa 56%. Leo Yanga Timu ya wananchi wataibuka na ushindi kwa sababu hizi;
  • Yanga wana presha ya kubeba ubingwa hivyo wachezaji wana morali na mood ya hali ya juu
  • Mechi iliyopita Wananchi walipoteza hivyo hawana huo ujinga wa kupoteza tena.
  • Mechi hii ina athari kwa Cedric Kaze hivyo sio rahisi kwake akubali apoteze tenaaa.

Ft: Timu ya Wanachi 2 vs polisi 0

# Magema Jr
SportsFire
 
Assalam aleykhum.
Jana nilitoa prediction kati ya Simba na Al Merekh ambayo ilitimia kwa 56%
Leo Yanga Timu ya wananchi wataibuka na ushindi kwa sababu hizi;
*Yanga wana presha ya kubeba ubingwa hivyo wachezaji wana morali na mood ya hali ya juu
*Mechi iliyopita Wananchi walipoteza hivyo hawana huo ujinga wa kupoteza tena.
*Mechi hii ina athari kwa Cedric Kaze hivyo sio rahisi kwake akubali apoteze tenaaa.

Ft: Timu ya Wanachi 2...... vs polisi 0000

# Magema Jr
SportsFire
Hebu tuletee prediction yako ya yanga na coastal ili tuzifanyie tathimini
 
Bora ukachambue mchele tu au rede maana sababu ulizosema hazina mashiko.
*Ukiwa na pressure halafu huna kikosi imara ni rahisi kufungwa
*Kufungwa sio hiali na ukitoka kufungwa morali inapungua
*Hakuna kocha anaekubali kufungwa mara mbili mfululizo ila huwa inatokea kwa hiyo sio chaguo la kocha kuwa ashinde au asishinde.

Kila la kheri Polisi Tz.
 
Jamaa prediction zako mbili za nyuma zilifeli.
Umetoa uchambuzi upande mmoja tu wa Yanga.
Lakini Polisi wapo nafasi gani,wanapambana pia watoke kwenye danger zone.

Beki kisiki wa Polisi ni Kervin Yondan mliemtupa kama tambala bovu baada ya kumtumia.
 
Assalam aleykhum,

Jana nilitoa prediction kati ya Simba na Al Merekh ambayo ilitimia kwa 56%. Leo Yanga Timu ya wananchi wataibuka na ushindi kwa sababu hizi;
  • Yanga wana presha ya kubeba ubingwa hivyo wachezaji wana morali na mood ya hali ya juu
  • Mechi iliyopita Wananchi walipoteza hivyo hawana huo ujinga wa kupoteza tena.
  • Mechi hii ina athari kwa Cedric Kaze hivyo sio rahisi kwake akubali apoteze tenaaa.

Ft: Timu ya Wanachi 2 vs polisi 0

# Magema Jr
SportsFire
Pole sana kaka.
 
IMG-20210307-WA0149.jpg
 
Back
Top Bottom