Pamoja na masuala ya goli la mkono na mengineyo... bado kimahesabu Ukawa wanaonekana watashinda maeneo yote, Bara na visiwani(Urais)
Heb tuangalie influence ya Ukawa yote V CCM katika mikoa mbalimbali...(Urais)
Arusha..... Hapa Ukawa wana chance ya kushinda by 95% of all total votes ... Huku 20% ikienda CCM..
Dodoma.. CCM wana chance ya kushinda 50% ya kura zote
Kilimanjaro.... Ukawa wana chance ya Kushinda 90% of all votes
Singida.. CCM wana chance ya Kushinda 49% of all votes
Morogoro ... Ccm wana chance ya kushinda 35% of all votes
Tabora.... Ccm wana chance ya kushinda zaidi ya asilimia 46% ya kura zote kihalali..
Manyara... ukawa wana chance ya kuchukua asilimia 90% ya kura zote..
Shinyanga... Ccm wana nafasi ya kuchukua zaidi ya asiimia 40% ya kura zote... Kihalali kabisa
Kagera ... Ccm wana nafasi ya kuchukua zaidi ya asilimia 50% ya kura zote
Mwanza.. ukawa wana nafasi ya kuchukua si zaidi ya asilimia 40%...
Iringa... CCM wana nafasi ya kuchukua zaidi ya asilimia 30% ya kura zote kihalali...
Tanga... CCM wana uhakika wa kuchukua zaidi ya asilimia 50% ya kura zote
Mbeya.. CCM wana uhakika wa kuchukua zaidi ya asilimia 25% ya kura zote..
Kigoma ... CCM wana uhakika wa Kuchukua zaidi ya Asilimia 40% ya kura zote....
Kwa sample hii ndogo... Inaonyesha kuwa CCM wana influence kidooogo mno sehemu kubwa ya Tz kushinda UKAWA ambao wana nguvu mikoa karibu yote...
Ukiachana na masuala ya goli la mkono na mengineyo... bado kimahesabu Ukawa wanaonekana watashindwa hasahasa eneo la Bara(Urais)
Heb tuangalie influence ya Ukawa yote V CCM katika mikoa mbalimbali...(Urais)
Arusha..... Hapa Ukawa wana chance ya kushinda by 80% of all total votes ... Huku 20% ikienda CCM..
Dodoma.. CCM wana chance ya kushinda 85% ya kura zote
Kilimanjaro.... Ukawa wana chance ya Kushinda 70% of all votes
Singida.. CCM wana chance ya Kushinda 85% of all votes
Morogoro ... Ccm wana chance ya kushinda 75% of all votes
Tabora.... Ccm wana chance ya kushinda zaidi ya asilimia 90 ya kura zote kihalali..
Manyara... ukawa wana chance ya kuchukua asilimia 80 ya kura zote..
Shinyanga... Ccm wana nafasi ya kuchukua zaidi ya asiimia 70 ya kura zote... Kihalali kabisa
Kagera ... Ccm wana nafasi ya kuchukua zaidi ya asilimia 60 ya kura zote
Mwanza.. ukawa wana nafasi ya kuchukua si zaidi ya asilimia 55...
Iringa... CCM wana nafasi ya kuchukua zaidi ya asilimia 60 ya kura zote kihalali...
Tanga... CCM wana uhakika wa kuchukua zaidi ya asilimia 80 ya kura zote
Mbeya.. CCM wana uhakika wa kuchukua zaidi ya asilimia 60 ya kura zote..
Kigoma ... CCM wana uhakika wa Kuchukua zaidi ya Asilimia 65 ya kura zote....
Kwa sample hii ndogo... Inaonyesha kuwa CCM wana influence sehemu kubwa ya Tz kushinda UKAWA ambao wana nguvu mikoa michache tuu...