Sababu ni nini?

Sababu ni nini?

Jitu la mkoani

New Member
Joined
Jul 18, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Unaweza kujiuliza tangia uhuru hakuna msimamo wa kiongozi mmoja unapishana na mwingine ndani ya chama kimoja lakini mambo yafuatayo yanatakufanya ujiulize sababu ni niini??

1. Awamu fulani inasema waliozaa wasirudi shule nyingine warudi shule
2. Awamu fulani tusiuze wanyama nje nyingine tuuze wanyama nje
3. Awamu fulani hakuna Covid nyingine Covid ipo
4. Awamu fulani tusikope nyingine tukope
5. Awamu fulani haikuzingatia safari za nje nyingine imezingatia ili kufungua nchi

Mimi najua sababu ni nini?

Naomba kujua sababu nyingine kama unazijua ziwe na uhalisia tafadhali
 
Back
Top Bottom