"Uwepo wa Nuru una maanisha kutokuwepo kwa Giza and vice versa.
Shida haiwezi kukaa pamoja na Raha . Na ukilazimisha kuviweka shida na raha kwa pamoja basi atakae kuwa mtawala hapo ni Shida na sio raha."
Mtoa mada hapa mbona umepotosha makusudi kabisa hivi kwa akili ya kawaida tu ukilazimisha kuviweka pamoja giza na nuru mtawala hapo ni nuru au giza? Jibu lipo wazi kabisa nuru ndio itatawala
Sasa sijui hitimisho lako la kusema "atakae kuwa mtawala hapo ni shida" umelitoa wapi.
Sent using
Jamii Forums mobile app