Sababu kwanini kiapo cha ndoa za kikristo ni haramu katika ulimwengu wa roho

Wakristo wakifunga ndoa huwa wanakula kiapo cha " KUISHI PAMOJA KWA SHIDA NA RAHA"

RAHA inasimama badala ya MUNGU.

SHIDA inasimama badala ya SHETANI.
So kwa maana nyingine ni kiapo cha kuwaunganisha mke,mume,Mungu na Shetani kwa pamoja kitu ambacho ni batili kwa sababu Mungu ( Nuru ) na Shetani ( Giza ) hawawezi kukaa pamoja katika eneo moja kwa wakati mmoja.

Uwepo wa Nuru una maanisha kutokuwepo kwa Giza and vice versa.

Shida haiwezi kukaa pamoja na Raha . Na ukilazimisha kuviweka shida na raha kwa pamoja basi atakae kuwa mtawala hapo ni Shida na sio raha.

Kwa hiyo mtawala halali wa ndoa za kikristo ni shida ( Shetani) kwa sababu wanandoa wenyewe hula kiapo cha kukabidhi unganiko lao chini ya utawala wa Shetani ( Shida )

UTHIBITISHO WA HOJA YANGU

Ukitaka kuthibitisha ninacho kieleza hapa watafute wanandoa wakristo walio kula kiapo cha kuishi pamoja kwa shida na raha na ambao wamekuwa pamoja kwa at least miaka kumi halafu wape karatasi.

Waambie karatasi moja waorodheshe mambo yote ya raha walio yapata tangu waingie katika ndoa na karatasi nyingine waorodheshe shida zote walizo zipata tangu waingie katika ndoa.

Am sure as hell mambo ya shida yatakuwa mengi kuliko mambo ya raha tena kwa ratio kubwa tu.

SULUHISHO NA MAPENDEKEZO

1. KANISA LIFUTE KIAPO CHA KUISHI PAMOJA KWA. SHIDA NA RAHA NA BADALA YAKE WANANDOA WALE KIAPO CHA KUINGIA KATIKA AGANO LA KUUNGANA NA KUWA MWILI MMOJA AMBAPO MWANAUME ATAAPA KUWA KICHWA NA MWANAMKE ATAAPA KUWA MWILI.. Ni agano linalo patana na Biblia.

Agano la kuishi pamoja kwa shida na raha halijaandikwa sehemu yoyote ile ndani ya Biblia.Sijui wametoa wapi? Hata Mungu alivyo waweka Adam na Hawa pale bustanini hakuwaambia waishi pamoja kwa shida na raha. Aliwabariki na kuwaambia wazae ili kuijaza dunia.

2. KWA WALE AMBAO WALISHAKULA KIAPO CHA KUISHI PAMOJA KWA SHIDA NA RAHA WATENGUE VIAPO VYAO NA KULA KIAPO KIPYA AMBACHO NIMEKIPENDEKEZA HAPO JUU.

N.B: Hata Bible imezitenganisha shida na raha kwa sababu inajua vitu hivi haviwezi kukaa pamoja.

Inasema " Kila jambo na wakati wake.Kuna wakati wa shida na wakati wa raha "

Wakati wa shida =Wakati wa Shetani kutawala

Wakati wa raha = Wakati wa Mungu kutawala

Read this story to understand the Roman Catholic vows and what they do mean

The marriage vows
Couples who marry in the Catholic Church exchange vows on their wedding day. Two couples who have remained true in good and bad times, in health and sickness, for a total of 50 over years look back and reflect on the meaning of their vows.

marriage2.jpg
I take you to be my wife/husband

Ignatius: The flipside of “take” is “reject”, which hurts each of us and our relationship. So this “take” is unconditional. I accepted Florence as is, with what she has and brings to the marriage. Through our marriage this is a constant reminder that I shouldn’t think of changing her but change myself to accept her “faults” and what she loves, such as her family. These days, I’ve learnt to enjoy travelling with her family as this gives us more reason to be together.

Florence: Taking and accepting each other is ongoing. For instance, I was converted after we married in church. I realised our marriage won’t be complete if I didn’t share his faith and want that for the children too. I used to wonder why the vows emphasised “taking” and not “giving” until I appreciated that God is there. He did the giving at the marriage. We are God’s gifts to one another, proven many times in our life.

I promise to be true to you in good times and in bad

Ignatius: We have been blessed with more good times than bad. Perhaps we didn’t see so many things being bad, as there is usually a silver lining in every cloud. We face setbacks and disappointments as challenges to mend and to be better. Like when Florence lost her job for a while, it was a break to be together and to love the resilient side of her. We trust that as a team, we can contend with adverse situations and differences and cushion the pain and distress.

Florence: I believe the good times are to fireproof our marriage against the bad times. I’m happy we learnt not to be complacent but to keep our relationship strong, especially in filling up our emotional or love bank. I was worried when Ignatius was retrenched, but we prevailed through it together by accepting that as a new way of life for us, especially through prayer.

In sickness and in health

Ignatius: Going through treatment for my throat cancer was a most intimate experience of drawing strength from each other’s presence and prayers. Her staunch support and devotion and our faith in God made all the difference and I never gave up hope. Seeing that Florence personally cared and suffered along with me was harder to bear than the pain and discomfort of therapy. That spurred me to behave and give my best to recuperate. How much more grateful I feel today towards her and to God as well as our Marriage Encounter community.

Florence: I learnt not to take each other’s health for granted, especially when there was an immediate recurrence of the cancer. Sickness is frightening but when it happened to Ignatius, I was amazed at the strength we drew from one another and our will to survive it together. I was thankful too that we had a strong community of friends to support us.

I will love you and honour you

Ignatius: Communication is our lifeblood. We keep that flowing through our written dialogues and shared activities like dating, walking and involvement in Marriage Encounter. Learning to love each other’s things and people breeds respect.

Florence: It means putting myself in his shoes, something I realise was helpful during his experience with cancer. Also mean what we say and say what we really mean. Try to make each day more exciting and interesting, like laugh at his jokes, care for this looks, going to market together and push our frontiers of opportunities, especially those that open up with my impending retirement from work, like making better use of senior concessions for movies and gallivanting around town, serving together in church and attending programmes, travelling with different people, and having fun with grand nephews.

All the days of my life

Ignatius: Try to love each other a bit more each day. And if any day is dreadful, there’s always the next day to make up for it. There’s no retirement in marriage until God calls for it. Till then, each day is a wedding day in a sense, and we are called to be a sacrament.

Florence: At our age, every day is a blessing and never dreadful. I’m thankful we are in good health and relationship to enjoy the days ahead. And I’ve Ignatius to share each day as the children are grown. It helps to have events on your calendar to look forward to.
 
YESU mwenyewe baba yake ni Mungu na alipata shida hapa duniani...Mungu mwenyewe hua anaruhusu shida zikupate ili uweze kukuza imani yako kwake..kwaio kutaka kuweka kiapo cha Raha pekee itakua unafiki wa kiwango cha SGR maana shida na raha zote tumeumbiwa sisi wanadamu rejea madhila yaluyomkuta Ayubu...kuelewa mambo ya Mungu ni zaidi ya kusoma sentensi mbili au moja ndo maana kuna reference kwa chini ya biblia...
 
Mkuu, ungeanza ku- declare interest kama umeoa au la.

Tafsiri ya Shida ni Shetani na Raha ni Mungu unakosea, kwani kwa imani za kidini Shetani ndio mzee wa Maraha na ndio chimbuko la dhambi na ukimuendekeza unaishia jehanamu.

Kumbuka adhabu waliyopewa Adam na Hawa baada ya kukiuka masharti ya Eden. Pamoja na furaha na raha iliyopo katika ndoa, vivyo hivyo ndivyo wanandoa wanakumbushwa na pindi yanapotokea magumu katika ndoa yao wanapaswa kuishi katika umoja wao. Hali hiyo ndio Ubin-Adamu, na haihusiani na kiapo cha ndoa kwakuwa Binadamu sio hayawani, kwani Mungu amempa uwezo wa kumfuata au kumkana na kuambatana na Shetani.

Nakupongeza, andelea kutafuta maarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakristo wakifunga ndoa huwa wanakula kiapo cha " KUISHI PAMOJA KWA SHIDA NA RAHA"

RAHA inasimama badala ya MUNGU.

SHIDA inasimama badala ya SHETANI.
So kwa maana nyingine ni kiapo cha kuwaunganisha mke,mume,Mungu na Shetani kwa pamoja kitu ambacho ni batili kwa sababu Mungu ( Nuru ) na Shetani ( Giza ) hawawezi kukaa pamoja katika eneo moja kwa wakati mmoja.

Uwepo wa Nuru una maanisha kutokuwepo kwa Giza and vice versa.

Shida haiwezi kukaa pamoja na Raha . Na ukilazimisha kuviweka shida na raha kwa pamoja basi atakae kuwa mtawala hapo ni Shida na sio raha.

Kwa hiyo mtawala halali wa ndoa za kikristo ni shida ( Shetani) kwa sababu wanandoa wenyewe hula kiapo cha kukabidhi unganiko lao chini ya utawala wa Shetani ( Shida )

UTHIBITISHO WA HOJA YANGU

Ukitaka kuthibitisha ninacho kieleza hapa watafute wanandoa wakristo walio kula kiapo cha kuishi pamoja kwa shida na raha na ambao wamekuwa pamoja kwa at least miaka kumi halafu wape karatasi.

Waambie karatasi moja waorodheshe mambo yote ya raha walio yapata tangu waingie katika ndoa na karatasi nyingine waorodheshe shida zote walizo zipata tangu waingie katika ndoa.

Am sure as hell mambo ya shida yatakuwa mengi kuliko mambo ya raha tena kwa ratio kubwa tu.

SULUHISHO NA MAPENDEKEZO

1. KANISA LIFUTE KIAPO CHA KUISHI PAMOJA KWA. SHIDA NA RAHA NA BADALA YAKE WANANDOA WALE KIAPO CHA KUINGIA KATIKA AGANO LA KUUNGANA NA KUWA MWILI MMOJA AMBAPO MWANAUME ATAAPA KUWA KICHWA NA MWANAMKE ATAAPA KUWA MWILI.. Ni agano linalo patana na Biblia.

Agano la kuishi pamoja kwa shida na raha halijaandikwa sehemu yoyote ile ndani ya Biblia.Sijui wametoa wapi? Hata Mungu alivyo waweka Adam na Hawa pale bustanini hakuwaambia waishi pamoja kwa shida na raha. Aliwabariki na kuwaambia wazae ili kuijaza dunia.

2. KWA WALE AMBAO WALISHAKULA KIAPO CHA KUISHI PAMOJA KWA SHIDA NA RAHA WATENGUE VIAPO VYAO NA KULA KIAPO KIPYA AMBACHO NIMEKIPENDEKEZA HAPO JUU.

N.B: Hata Bible imezitenganisha shida na raha kwa sababu inajua vitu hivi haviwezi kukaa pamoja.

Inasema " Kila jambo na wakati wake.Kuna wakati wa shida na wakati wa raha "

Wakati wa shida =Wakati wa Shetani kutawala

Wakati wa raha = Wakati wa Mungu kutawala

Mwenyezi Mungu ameumba shida na raha, huwezi kusema shida ni ya shetani na raha ndo ya Mwenyezi Mungu, hali ya shida na raha zote ni mitihani kwa mwanaAdamu. Mume na Mke wanapata raha kwa kula visivyo halali, tuseme ni raha ya Mwenyezi Mungu?
 
Mtoa mada ana point ya msingi sana! Kwa nini tukiri uwepo wa nyakati za shida? Mungu tuondolee shida katika ndoa zetu kwa jina la Yesu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano ukiumwa huo ni wakati gani? Ukipata ajali huo ni wakati gani? Ukiwa huna hela huo ni wakati gani? Mbona mambo yapo haya maishani na kuna watu hukimbia wenza wao wakiona wanaumwa kwa kutopenda kuwauguza nk. Sasa ubatili wa kiapo uko wapi?
 
Katika soma yangu biblia ni Mfamle Suleimani alistarehe katika utawala wake, katika kipindi chake Israel haikupigana vita na kwa sababu mkono wake haukuwa na damu ndiye aliyejenga Nyumba ya bwana.

Wateule waliteseka,mfano Ayubu. kwa hiyo ni uongo kusema raha na shida zinawakilisha shetani na Mungu.

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Wakristo wakifunga ndoa huwa wanakula kiapo cha " KUISHI PAMOJA KWA SHIDA NA RAHA"

RAHA inasimama badala ya MUNGU.

SHIDA inasimama badala ya SHETANI.
So kwa maana nyingine ni kiapo cha kuwaunganisha mke,mume,Mungu na Shetani kwa pamoja kitu ambacho ni batili kwa sababu Mungu ( Nuru ) na Shetani ( Giza ) hawawezi kukaa pamoja katika eneo moja kwa wakati mmoja.

Uwepo wa Nuru una maanisha kutokuwepo kwa Giza and vice versa.

Shida haiwezi kukaa pamoja na Raha . Na ukilazimisha kuviweka shida na raha kwa pamoja basi atakae kuwa mtawala hapo ni Shida na sio raha.

Kwa hiyo mtawala halali wa ndoa za kikristo ni shida ( Shetani) kwa sababu wanandoa wenyewe hula kiapo cha kukabidhi unganiko lao chini ya utawala wa Shetani ( Shida )

UTHIBITISHO WA HOJA YANGU

Ukitaka kuthibitisha ninacho kieleza hapa watafute wanandoa wakristo walio kula kiapo cha kuishi pamoja kwa shida na raha na ambao wamekuwa pamoja kwa at least miaka kumi halafu wape karatasi.

Waambie karatasi moja waorodheshe mambo yote ya raha walio yapata tangu waingie katika ndoa na karatasi nyingine waorodheshe shida zote walizo zipata tangu waingie katika ndoa.

Am sure as hell mambo ya shida yatakuwa mengi kuliko mambo ya raha tena kwa ratio kubwa tu.

SULUHISHO NA MAPENDEKEZO

1. KANISA LIFUTE KIAPO CHA KUISHI PAMOJA KWA. SHIDA NA RAHA NA BADALA YAKE WANANDOA WALE KIAPO CHA KUINGIA KATIKA AGANO LA KUUNGANA NA KUWA MWILI MMOJA AMBAPO MWANAUME ATAAPA KUWA KICHWA NA MWANAMKE ATAAPA KUWA MWILI.. Ni agano linalo patana na Biblia.

Agano la kuishi pamoja kwa shida na raha halijaandikwa sehemu yoyote ile ndani ya Biblia.Sijui wametoa wapi? Hata Mungu alivyo waweka Adam na Hawa pale bustanini hakuwaambia waishi pamoja kwa shida na raha. Aliwabariki na kuwaambia wazae ili kuijaza dunia.

2. KWA WALE AMBAO WALISHAKULA KIAPO CHA KUISHI PAMOJA KWA SHIDA NA RAHA WATENGUE VIAPO VYAO NA KULA KIAPO KIPYA AMBACHO NIMEKIPENDEKEZA HAPO JUU.

N.B: Hata Bible imezitenganisha shida na raha kwa sababu inajua vitu hivi haviwezi kukaa pamoja.

Inasema " Kila jambo na wakati wake.Kuna wakati wa shida na wakati wa raha "

Wakati wa shida =Wakati wa Shetani kutawala

Wakati wa raha = Wakati wa Mungu kutawala
Mmmmmm . Mshana Jr. Njoo huku !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du umelishwa matango pori na Sasa unalisha wengine matango pori Tena yenye sumu.

Acha kusoma biblia na kutafsiri Kama gazeti la shigongo. Kama unaifahamu ndoa ya kwanza isome vizuri utaelewa nsingi wa ndoa na msingi wa maneno yote yaliyopo kwenye ibada nzima ya ndoa.

Nasema Tena hivyo vi...... Vyenu vinawapotosha na ndoa maana mnaobgoza kufungisha ndoa juu ya ndoa ingine, kufanya kanisa lenu kuwa kanisa la wazinzi.

Fanya utafiti kabla ya kusema unachotaka kutuaminisha
 
Wakristo wakifunga ndoa huwa wanakula kiapo cha " KUISHI PAMOJA KWA SHIDA NA RAHA"

RAHA inasimama badala ya MUNGU.

SHIDA inasimama badala ya SHETANI.
So kwa maana nyingine ni kiapo cha kuwaunganisha mke,mume,Mungu na Shetani kwa pamoja kitu ambacho ni batili kwa sababu Mungu ( Nuru ) na Shetani ( Giza ) hawawezi kukaa pamoja katika eneo moja kwa wakati mmoja.

Uwepo wa Nuru una maanisha kutokuwepo kwa Giza and vice versa.

Shida haiwezi kukaa pamoja na Raha . Na ukilazimisha kuviweka shida na raha kwa pamoja basi atakae kuwa mtawala hapo ni Shida na sio raha.

Kwa hiyo mtawala halali wa ndoa za kikristo ni shida ( Shetani) kwa sababu wanandoa wenyewe hula kiapo cha kukabidhi unganiko lao chini ya utawala wa Shetani ( Shida )

UTHIBITISHO WA HOJA YANGU

Ukitaka kuthibitisha ninacho kieleza hapa watafute wanandoa wakristo walio kula kiapo cha kuishi pamoja kwa shida na raha na ambao wamekuwa pamoja kwa at least miaka kumi halafu wape karatasi.

Waambie karatasi moja waorodheshe mambo yote ya raha walio yapata tangu waingie katika ndoa na karatasi nyingine waorodheshe shida zote walizo zipata tangu waingie katika ndoa.

Am sure as hell mambo ya shida yatakuwa mengi kuliko mambo ya raha tena kwa ratio kubwa tu.

SULUHISHO NA MAPENDEKEZO

1. KANISA LIFUTE KIAPO CHA KUISHI PAMOJA KWA. SHIDA NA RAHA NA BADALA YAKE WANANDOA WALE KIAPO CHA KUINGIA KATIKA AGANO LA KUUNGANA NA KUWA MWILI MMOJA AMBAPO MWANAUME ATAAPA KUWA KICHWA NA MWANAMKE ATAAPA KUWA MWILI.. Ni agano linalo patana na Biblia.

Agano la kuishi pamoja kwa shida na raha halijaandikwa sehemu yoyote ile ndani ya Biblia.Sijui wametoa wapi? Hata Mungu alivyo waweka Adam na Hawa pale bustanini hakuwaambia waishi pamoja kwa shida na raha. Aliwabariki na kuwaambia wazae ili kuijaza dunia.

2. KWA WALE AMBAO WALISHAKULA KIAPO CHA KUISHI PAMOJA KWA SHIDA NA RAHA WATENGUE VIAPO VYAO NA KULA KIAPO KIPYA AMBACHO NIMEKIPENDEKEZA HAPO JUU.

N.B: Hata Bible imezitenganisha shida na raha kwa sababu inajua vitu hivi haviwezi kukaa pamoja.

Inasema " Kila jambo na wakati wake.Kuna wakati wa shida na wakati wa raha "

Wakati wa shida =Wakati wa Shetani kutawala

Wakati wa raha = Wakati wa Mungu kutawala
Acha kuvuta bangi kwa siri mkuu

ukweli daima uongo mwiko
 
Hapo nadhani utakuwa unakosea unaposema Shida ni shetani,Mungu kuna nyakati huwa analeta shida ili kukuandaa kwa jambo la raha baadaye.'I stand to be corrected' kwahiyo shida zote sio shetani,pitia hili andiko la Wakorintho 2 12:10,"kwahiyo napendezwa na udhaifu,na ufidhuli,na misiba,na adha,na SHIDA,kwa ajili ya Kristo.Maana niwapo dhaifu ndipo nilipo na nguvu"...
 
RAHA inasimama badala ya MUNGU.
SHIDA inasimama badala ya SHETANI.
Soma kifungu cha Biblia hapa chini halafu unieleze kama hoja yako inamaanisha kuwa Mungu aliwaleta wanadamu ulimwenguni ili wasimame badala ya shetani

16 Kisha akamwambia mwanamke, “Nitakuzidishia uchungu wa kuzaa, kwa uchungu utazaa watoto. Hata hivyo utakuwa na hamu na mumeo, naye atakutawala.”
17 Kisha akamwambia huyo mwanamume, “Kwa kuwa wewe umemsikiliza mkeo, ukala matunda ya mti ambayo nilikuamuru usile; kwa hiyo, kwa kosa lako ardhi imelaaniwa. Kwa jasho utajipatia humo riziki yako, siku zote za maisha yako.
18 Ardhi itakuzalia michongoma na magugu, nawe itakubidi kula majani ya shambani.
19 Kwa jasho lako utajipatia chakula mpaka utakaporudi udongoni ulimotwaliwa; maana wewe ni mavumbi, na mavumbini utarudi.”
 
Wakristo wakifunga ndoa huwa wanakula kiapo cha " KUISHI PAMOJA KWA SHIDA NA RAHA"

RAHA inasimama badala ya MUNGU.

SHIDA inasimama badala ya SHETANI.
So kwa maana nyingine ni kiapo cha kuwaunganisha mke,mume,Mungu na Shetani kwa pamoja kitu ambacho ni batili kwa sababu Mungu ( Nuru ) na Shetani ( Giza ) hawawezi kukaa pamoja katika eneo moja kwa wakati mmoja.

Uwepo wa Nuru una maanisha kutokuwepo kwa Giza and vice versa.

Shida haiwezi kukaa pamoja na Raha . Na ukilazimisha kuviweka shida na raha kwa pamoja basi atakae kuwa mtawala hapo ni Shida na sio raha.

Kwa hiyo mtawala halali wa ndoa za kikristo ni shida ( Shetani) kwa sababu wanandoa wenyewe hula kiapo cha kukabidhi unganiko lao chini ya utawala wa Shetani ( Shida )

UTHIBITISHO WA HOJA YANGU

Ukitaka kuthibitisha ninacho kieleza hapa watafute wanandoa wakristo walio kula kiapo cha kuishi pamoja kwa shida na raha na ambao wamekuwa pamoja kwa at least miaka kumi halafu wape karatasi.

Waambie karatasi moja waorodheshe mambo yote ya raha walio yapata tangu waingie katika ndoa na karatasi nyingine waorodheshe shida zote walizo zipata tangu waingie katika ndoa.

Am sure as hell mambo ya shida yatakuwa mengi kuliko mambo ya raha tena kwa ratio kubwa tu.

SULUHISHO NA MAPENDEKEZO

1. KANISA LIFUTE KIAPO CHA KUISHI PAMOJA KWA. SHIDA NA RAHA NA BADALA YAKE WANANDOA WALE KIAPO CHA KUINGIA KATIKA AGANO LA KUUNGANA NA KUWA MWILI MMOJA AMBAPO MWANAUME ATAAPA KUWA KICHWA NA MWANAMKE ATAAPA KUWA MWILI.. Ni agano linalo patana na Biblia.

Agano la kuishi pamoja kwa shida na raha halijaandikwa sehemu yoyote ile ndani ya Biblia.Sijui wametoa wapi? Hata Mungu alivyo waweka Adam na Hawa pale bustanini hakuwaambia waishi pamoja kwa shida na raha. Aliwabariki na kuwaambia wazae ili kuijaza dunia.

2. KWA WALE AMBAO WALISHAKULA KIAPO CHA KUISHI PAMOJA KWA SHIDA NA RAHA WATENGUE VIAPO VYAO NA KULA KIAPO KIPYA AMBACHO NIMEKIPENDEKEZA HAPO JUU.

N.B: Hata Bible imezitenganisha shida na raha kwa sababu inajua vitu hivi haviwezi kukaa pamoja.

Inasema " Kila jambo na wakati wake.Kuna wakati wa shida na wakati wa raha "

Wakati wa shida =Wakati wa Shetani kutawala

Wakati wa raha = Wakati wa Mungu kutawala
Watu huwa mnatafuta sababu za kuanzisha makanisa mapya. Anzisha tu ujiite mtume na nabii
 
Kuna mtu miaka 3 kaolewa ajagegedwa na mumewe na mumewe anagegeda nje ukimwambia dai talaka et kiapo shenz type hz ndoa nyingne laaana kwel kweli
 
Back
Top Bottom