mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,666
Tangu Serikali ya Dr Maghufuli ianze kuthibiti utendaji kazi ya watumishi waje, ikiwa ni pamoja na kuwahi kazini na kutokutokatoka mahala pa kazi "traffic jam" za DSM, hasa nyakati za asubuhi na wakati wa kazi zimepungua kwa kiasi kikubwa. Wanaoishi nje jiji la Dar km Bunju, Tegeta, Mbezi mwisho watakubaliana na mimi.