Sababu kuu inayowafanya baadhi ya wanawake kutokuolewa na kuishia kutumika tu kingono.

Naunga mkono hilo la kutofanya kazi za nyumbani. Unakuta kila kitu house girl ndio anafanya. Mimi kuna watoto wa ndugu zangu huwa wakija kwangu huwa hawagusi kazi yoyote. Wanatengewa mpaka chakuka wao wakiwa wanachati na simu tu. Kutwa nzima. Wanaudhi sana. Siku wakija tena nitawaambia ikibidi nitawapiga marufuku kuja kwangu!
 
1-> Utumiaji mbaya wa mitandao ya kijamii √

2-> Kutokupenda kufanya kazi za nyumbani√

3-> Kujipara hadi sura yako ya asili inasahaulika √
Ni kweli wanaume hupenda mwanamke mrembo na mwenye kupendeza. Lakini hii haimaanishi ndio ujipodoe hadi uchukize. Kila kitu kwa kiasi chake kwa sababu kitu chochote kikizidi huwa ni sumu.
Jirembe kwa kiasi, hili litavutia watu walio-serious kutaka kukuoa, lakini ukiwa ni wa kujiremba hadi ukapindukia, hakuna muoaji atakaye kuta. Tena ikumbukwe kuna baadhi ya wanaume wao hupenda mwanamke asiyejiremba (wenyewe huita natural)
Hizi ni baadhi tu, na wewe unaweza kuongezea ili kuwakumbusha wasichana wanaotaka kuolewa √
Wanasemag kam mzur olewa
 
Hizi kitu hazina formular! Hao hao wanaojiremba mpaka kutisha kila siku wanatangaza ndoa
 
Huwa nashindwa kuelewa mtu anaposema eti wanawake wanatumika kingono. Mwanamke anayetumika kingono ni yule anayebakwa au mwenye umri chini ya miaka 18...basi.
Mwanamke mwenye umri zaidi ya miaka 18, ambaye hajabakwa, anatumikaje kingono? Haiingii akilini.
 
Kwa sasa ukitaka kuoa, ukaangalia Picha alizopost Fb, insta n.k., unaweza kuahirisha Ndoa.
 
Jf nowdays ni hovyo tu.... Vitimanyongo unafiki kwa kwenda mbele yani watu wana gubu hata kwa watu wasiowajua watu wasiowahusu hata nukta tu..
Smart911 loves ki mahondaw chake tu

Cc Smart911

mahondaw wangu... na umesahu tabia za kufuatana fuatana JF zinakera sana... Watu wanaazisha ujinga wao, alafu wana expect Smart911 and mahondaw wake waanza ku react... nope it will never happen...
 
1-> Utumiaji mbaya wa mitandao ya kijamii √
2-> Kutokupenda kufanya kazi za nyumbani√
3-> Kujipara hadi sura yako ya asili inasahaulika √

Ni kweli wanaume hupenda mwanamke mrembo na mwenye kupendeza. Lakini hii haimaanishi ndio ujipodoe hadi uchukize. Kila kitu kwa kiasi chake kwa sababu kitu chochote kikizidi huwa ni sumu.

Jirembe kwa kiasi, hili litavutia watu walio-serious kutaka kukuoa, lakini ukiwa ni wa kujiremba hadi ukapindukia, hakuna muoaji atakaye kuta. Tena ikumbukwe kuna baadhi ya wanaume wao hupenda mwanamke asiyejiremba (wenyewe huita natural)

Hizi ni baadhi tu, na wewe unaweza kuongezea ili kuwakumbusha wasichana wanaotaka kuolewa
asanteeee
 
Back
Top Bottom