Sababu inayofanya wanawake wasikupende

Yaaan hata uwe mbaya. katili. una mahasira . na kwa kifupi uwe mwanaume haueleweki.

Ila Kuna sehem utapenda na huyo mwanamke atakupenda pia.

Kwahio Tusipoteze muda kufanya mambo ili wanawake wengine watupende.

Akikupenda mkewako/girlfrnd wako inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…