Ingawa ni mwanammke lakin kwenye hili nakubaliana nalo,wapo baadhi ya wanawake yani anajipitisha pitisha sehemu waliokua wanaume mpaka unaona AIBU wewe,au na nguo anazovaa mtu wa hivyo anavaa ki asara asara tuu,make up ndio
usiseme nyusi anatoa kama mwezi mchanga halafu anakoleza wanjaa,eye shadow ndio unaweza ukakimbia,nenda kwenye mkorogo utachoka na sijui kama wanajua wanajivunjia bahati zao,wanaishia kuzeeka nakusema yule nimeshatembea nae
naamchukue tuu nishalala nae so what?