Sababu 5 Kwanini Wasichana Warembo Hawaolewi

Sababu 5 Kwanini Wasichana Warembo Hawaolewi

Uzuri upo machoni mwako mkuu,unachoona ww ni kizuri mwingine hamna kitu
 
Mimi nimeoa mwanamke mrembo. Wewe kama umeoa kijitofari matakho ili ule peke yako endelea.
Mwanamke ni pambo la nyumba
 
mwanamke ni pambo, acha wapendeze na kuipamba dunia, filiria Watanzania wote wawe wabaya kama Mimi, nchi haitakalika. Tunabutudika sana tuwaonapo maofisini, makanisani, mitaani na kwingineko. Nasema pendezeni. Wanawake warembo hawaolewi wengine kwa kutoka ndoa ili kutojizibia riziki, kufurahia Uhuru binafsi n.k, ndomaana mashindano ya umiss hayashirikishi wake za watu maana kuna uhusiano baina ya ndoa na urembo, ukikuta make wa MTU mrembo, hapo ujue kuna mgogoro kwenye ndoa hiyo
 
View attachment 991502





Wanawake wengi warembo/wazuri husalia peke yao na kufa katika hali hiyo kutokana na sababu tofauti.

Wengi huwa na tabia za kuudhi hali ambayo huwafukuza wanaume walio na uwezo wa kuwaoa.
Umewahi kushangaa sababu za wanawake warembo zaidi kutoolewa?

Umewahi kujiuliza Nani anataka kupanda miwa kwenye shamba karibu na shule?(sijui kama hiyo miwa itabaki salama na jopo lote la wanafunzi lililopo hapo shuleni)


Wanaume sio wajinga na katika asilimia kubwa ya wanawake wanaoolewa huwa ni waajabu sana ukiwaangalia kwa machoni kwa jinsi walivyo, mpaka unakuta wengine wanajiuliza, ‘huyu mwanaume mzuri hivyo anamuoa mwanamke ambaye hawaendani’.

Ukiwa mzuri utapndwa na wanaume wengi ila watakupenda kwa lengo moja tu, ‘Mapenzi’ baada ya hapo utakuwa wa kuchezewa na kuachwa.
Kuna sababu tano ambazo huwafanya wanawake warembo/wazuri kusalia wapweke.



  1. Tabia
Wanawake kama hao huwa na tabia mbaya(uvaaji, ukaaji, viwanja vya starehe, lugha zisizo nzuri, marafiki) ambavyo hupelekea kuhatarisha nafasi yao ya kupata mume. Wanaume wengi huwa hawapendezwi na tabia za aina hiyo hata mwanamke awe mrembo kiasi gani.


  1. Baadhi ya wanawake hao huwa na maringo sana
Eti hawawezi kuosha nyumba kwa kuogopa kucha zao zisikatike. Wengine hawaju kupika na hawawezi kulea watoto kwa kuogopa kuchafuka.


  1. Ghali kuwatunza
Wanawake warembo huwa ghali kuwatunza kwa sababu huwa na dhana kuwa wanafaa kupelekwa katika hoteli kubwa kubwa na maeneo yaliyo na bidhaa ghali. Huwa hawalegezi msimamo hasa kuhusu mahitaji yao na wanakotaka kwenda kununua bidhaa.


  1. Wabinafsi na wenye chuki
Wanawake wa aina hiyo hufikiria dunia ni yao na kwamba wanafaa kuabudiwa na kila mwanamume. Wanaume wengi hupenda kuhusiana na wanawake wa aina hiyo, ambao huwadharau kutokana na kuwa “wanapendwa” na wanaume wengi.
Wasichojua ni kuwa wanaume huwatumia tu na kuwaacha kutokana na tabia zao ili kutafuta mwanamke mzuri wa kuoa.

  1. Hawataki kuwa wazazi
Wanawake hao hupenda kusalia wakiwa wa kupendeza, hivyo huwa wanaogopa kuzaa wasipate mikunjo, wasinenepe au kuwa na matiti kulegea. Kwa kawaida, hakuna mwanamume anayependa kuoa mwanamke ambaye hawezi kumzalia, hasa kwa sababu ya utamaduni wa Kiafrika.
Kama una sifa za aina hiyo, huenda ni wakati wako kubadilika ikiwa unataka kupata mume.
U HAVE SPOKEN NOTHING.....















BUT THE TRUTH AND THE TRUTH ONLY.


Go at any bar tell the waiter to bring u two bottles of beer and two females, talaka ( bili ) aniletee Mimi ntalipa.

In addition to that wana wake wazuri huwa inawachukua muda mrefu sana kufanya maamuzi ya kuolewa na mwanaume yupi kwa sababu wanafuatwa na wanaume wengi kwa Wakati mmoja.

Most of the time when they are ib relationships they behave as if they are waiting for Mr Right to come and marry them
 
Back
Top Bottom