Sababu 25 Za Kutoichagua CCM Mwaka 2015

Sababu 25 Za Kutoichagua CCM Mwaka 2015

Sababu Zifuatazo Lazima Ziiondoe C C M Madarakani, Moja,,. Kusababisha Uchumi Wa Nchi Kuwa Duni Kwa Zaidi Ya Miaka 53 Tangu Uhuru Mbili,,,, Kusababisha Bajeti Ya Nchi Kuwa Tegemezi Kwa Zaidi Ya 60% Kwa Miaka 53 Tatu,,,,, Kusababisha Deni La Taifa Kuraise Nne,,,,,, Kuuza Raslimali Za Nchi Kwa Kisingizio Cha Uwekezaji. Ongezea Sababu Zingine,,,,.,,,,,,,,,,
Khaa!! Kwa hiyo utaichagua ACT???:A S wink:
 
ccm kwa sasa hata wakimsimamisha Mtume Mohamad na mgombea mweza akawa Yesu,kura yangu hawawezi kuipata.Miaka 53 ya utawala wao uliosababisha umaskini mkubwa kwa Watz umetosha wawapishe wengine wenye uwezo,hii nchi si yao peke yao!
Khaa!! Hinyi nyie mibavicha hiyo miaka 53 ya utawala wa CCM mnaitoa wapi?? Au hamjui hisabati vizuri?? Acheni ujinga!!
 
hujielewi mbulura wewe,mi sina ukoo na mapanya! Kwangu ccm ni sawa na zimwi,uzuri hata wazazi wangu walishaachana na hilo zimwi.
C C M Ni Janga Kwa Wa Tz, Ni Sawa Na Ugonjwa Ukimwi Au Ukoma.
 
Sababu Zifuatazo Lazima Ziiondoe C C M Madarakani, Moja,,. Kusababisha Uchumi Wa Nchi Kuwa Duni Kwa Zaidi Ya Miaka 53 Tangu Uhuru Mbili,,,, Kusababisha Bajeti Ya Nchi Kuwa Tegemezi Kwa Zaidi Ya 60% Kwa Miaka 53 Tatu,,,,, Kusababisha Deni La Taifa Kuraise Nne,,,,,, Kuuza Raslimali Za Nchi Kwa Kisingizio Cha Uwekezaji. Ongezea Sababu Zingine,,,,.,,,,,,,,,,

Msukule Mweusi - Big up saanaa!!!!

OK, nakupa ushauri ili hili wazo lako lizae matunda. Baada ya wananchi wa Tanzania kuchangia na kupata hizo sababu 25 ama na zaidi, do spread it. Sambaza kabisa....

Tumia facebook na utapata like zaidi ya 25 millions za watanzania, hii ni uhakika kuwa neno limefika vijijini.

Kwenye hizo sababu 25, ambatanisha na picha za watoto wakiwa wamekaa chini - hakuna madawati, onyesha picha watoto wamekaa chini ya mti, -hakuna madarasa, onyesha wajawazito wamelala 2 - 2 na wengine sakafuni, n.k. Wadau hapa jf watakupa picha.

Facebook account - usitumie jina lako wala location, nenda kwenye Internet cafe.

Naongezea sababu nyingine ni kuwa Wanafunzi wa vyuo vikuu kukosa mikopo

-Pesa za walipa kodi wa Tanzania kuibwa mfano EPA, DOWANS, Escrow, RADA n.k

-Pesa kutoroshwa nje ya nchi - Mabillion ya Uswisi

-Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya Madawa ya kulevya

-Twiga kutoroshwa nje ya nchi...

- Watu kutekwa na kuuawa

-Katiba ya nchi imevunjwa - Rasilimali za nchi zinaibwa na Raia hawapati usalama
 
Sababu Zifuatazo Lazima Ziiondoe C C M Madarakani,

1. Kusababisha Uchumi Wa Nchi Kuwa Duni Kwa Zaidi Ya Miaka 53 Tangu Uhuru

2. Kusababisha Bajeti Ya Nchi Kuwa Tegemezi Kwa Zaidi Ya 60% Kwa Miaka 53

3. Kusababisha Deni La Taifa Kuraise

4. Kuuza Raslimali Za Nchi Kwa Kisingizio Cha Uwekezaji.

Ongezea Sababu Zingine,,,,.,,,,,,,,,,

C C M Ni Chama Kilichozeeka Viongozi Walewale Wa Ukoo Uleule,kv. Ridzone Jk, Husenii Ruksa Mwinyie, Napes Mozes, Willium Jumanne Malechelae,etc. Hakuna Jipya C C M Ni Chama Kilichozeeka, Akili Na Mawazo Ni Yaleyale, Watu Wale Wale Mfumo Ule Ule Wa Magamba Ulioshindwa Tangu 1977.
 
TANU NI PANYA BABA CCM NI BINTI PANYA Wote Mapanya Bro.
Khaa!! Kwa Hiyo Dr Mtei, Dr Slaa, Baba wa Dr Mbowe na wengine wengi nyuma ya 1992 na wengine baadaye wote walikuwa PANYA?? AchaUjinga wewe :cool2:
 
Mapanya Yaleyale Mbinu Na Utapeli Ni Ule Ule, Mtaji Wa Magamba Ni Umaskini Wa Watz. Cku Hizi Ktk Mikutano Ya Hadhara C C M Wanahonga Mpaka Pilau Chezea Magamba Wewe.
 
SITA,,,,,,, Vigogo Wa C C M Kuendelea Kuwarithisha Watoto Wao, Vyeo Na Madaraka Kama Vile Watu Tusio Na Anuani Na Tusiotoka Ktk Ukoo Wa Viongozi Hatuwezi Ongoza Nchi Au Wizara Na Taasisi Nyeti.

7.kumuita Dr.salm Ahmed Salmu kuwa si raia wa Tanzania( ubaguzi),pamoja na ismail jussa,castico,Bashe kuwa ni watu wa india na rwanda huku wakiwapa vyeo
8. Ccm kuuza nyumba za serikali na wakubwa kujinufaisha kwa bei ya chini
9. Kuanzishwa kwa division 5 kwa lengo la kushusha ufaulu ili ccm ihadae watz kuwa taaluma imekuwa wakati wa kwao wakisoma nje
10. Ccm kushindwa kujenga nyumba 3000 za walimu zenye dhamani ya mil 20 kila moja huku akina Lowassa wakitumia ukwasi waliouteka toka hazina za serikali kugawa makanisani
11.maji kutopatikana kwa miaka 53 hivyo watz kuendelea kuishi kipindi cha medieval cha 1232 AD !
 
hata mi nilishangaa kama bavicha anaweza kuwa uwezo wa kutoa sababu hizo 25, kumbe unataka wenye akili ndo wakuandikie!

Nyie Ma C C M Kila Kitu Mnasingizia Bavicha, Hapa Magamba Tutawapelekesha Mperampera Mpaka Next Year Mtapike Kande,,,!
 
Sababu Zifuatazo Lazima Ziiondoe C C M Madarakani,

1. Kusababisha Uchumi Wa Nchi Kuwa Duni Kwa Zaidi Ya Miaka 53 Tangu Uhuru

2. Kusababisha Bajeti Ya Nchi Kuwa Tegemezi Kwa Zaidi Ya 60% Kwa Miaka 53

3. Kusababisha Deni La Taifa Kuraise

4. Kuuza Raslimali Za Nchi Kwa Kisingizio Cha Uwekezaji.

Ongezea Sababu Zingine,,,,.,,,,,,,,,,

Ndio hizo 25?
 
7.kumuita Dr.salm Ahmed Salmu kuwa si raia wa Tanzania( ubaguzi),pamoja na ismail jussa,castico,Bashe kuwa ni watu wa india na rwanda huku wakiwapa vyeo
8. Ccm kuuza nyumba za serikali na wakubwa kujinufaisha kwa bei ya chini
9. Kuanzishwa kwa division 5 kwa lengo la kushusha ufaulu ili ccm ihadae watz kuwa taaluma imekuwa wakati wa kwao wakisoma nje
10. Ccm kushindwa kujenga nyumba 3000 za walimu zenye dhamani ya mil 20 kila moja huku akina Lowassa wakitumia ukwasi waliouteka toka hazina za serikali kugawa makanisani
11.maji kutopatikana kwa miaka 53 hivyo watz kuendelea kuishi kipindi cha medieval cha 1232 AD !

Choma choma Chomaa Moto Magamba Yaunguee.
 
Vita Kati Ya CHADEMA Na CCM Ni Sawa Na Vita Kati Ya Wananchi Wenye Hasira Kali Dhidi Ya Mwizi Wao. TAFAKARI,,,,mwizi Ni Nani Na Wananchi Ni Nani ??,
 
mimi nilifikiri unazo zote kumbe unataka tukusaidie?

Sababu Zifuatazo Lazima Ziiondoe C C M Madarakani,

1. Kusababisha Uchumi Wa Nchi Kuwa Duni Kwa Zaidi Ya Miaka 53 Tangu Uhuru

2. Kusababisha Bajeti Ya Nchi Kuwa Tegemezi Kwa Zaidi Ya 60% Kwa Miaka 53

3. Kusababisha Deni La Taifa Kuraise

4. Kuuza Raslimali Za Nchi Kwa Kisingizio Cha Uwekezaji.

Ongezea Sababu Zingine,,,,.,,,,,,,,,,
 
Sababu Zifuatazo Lazima Ziiondoe C C M Madarakani,

1. Kusababisha Uchumi Wa Nchi Kuwa Duni Kwa Zaidi Ya Miaka 53 Tangu Uhuru

2. Kusababisha Bajeti Ya Nchi Kuwa Tegemezi Kwa Zaidi Ya 60% Kwa Miaka 53

3. Kusababisha Deni La Taifa Kuraise

4. Kuuza Raslimali Za Nchi Kwa Kisingizio Cha Uwekezaji.

Ongezea Sababu Zingine,,,,.,,,,,,,,,,

Namba moja tu inatosha
 
11. Wakulima na wafugaji wakiendelee kuuana kisa maeneo hayajatengwa
a
12. Matumizi ya hovyo ya pesa za umma...refer CAG report kila mwaka

13. Uzalishaji kushuka na kupanda bei kwa gharama za uzalishaji kisa MGAO WA KUDUMU WA UMEME

14. Kushindwa kabisa kuimarisha vyama vya msingi...cooperative unions

15. Rushwa iliyotukuka kuanzia ikulu mpaka ofisi za wenyeviti wa mitaa wakati mamlaka ikichekelea..........typing
 
Sababu Zifuatazo Lazima Ziiondoe C C M Madarakani,

1. Kusababisha Uchumi Wa Nchi Kuwa Duni Kwa Zaidi Ya Miaka 53 Tangu Uhuru

2. Kusababisha Bajeti Ya Nchi Kuwa Tegemezi Kwa Zaidi Ya 60% Kwa Miaka 53

3. Kusababisha Deni La Taifa Kuraise

4. Kuuza Raslimali Za Nchi Kwa Kisingizio Cha Uwekezaji.

Ongezea Sababu Zingine,,,,.,,,,,,,,,,

sita, ufisadi, 7. mauaji ya raia wasokuwa na hatia, 8. kuweka kando katiba ya nchi na kuongoza nchi kishikaji, 9. kurithishana vyeo ie baba na mtoto,wajomba,shangazi, nk
 
Back
Top Bottom