Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,510
- 28,529
Kama ni kweli humfikishi inabidi asamehewe.Bila kusahau, alisema ww humfikishi
Inasikitisha sanaMmmhhh
Nani ameolewa na kutunzwa?Ukitulia utanipa sababu 3 tu za kwa nini mwanamke akusamehe mwanaume Mzinzi, Unayelala na kila Malaya!
Hakika mkuu mwanamke malaya hasemehewi hata aombe msamaha na kukupigia magoti huku akijilizaMkuu naunga hoja kwa asilimia mia moja,
Msaliti hasamehewi hata siku moja.
Wewe tunakuweka kwenye kundi la wanaume tuliowazungumzia kwenye huu uziKama ni kweli humfikishi inabidi asamehewe.
Ukishajua kakusaliti piga chini hapohapo%100%100% ni mpumbavu tu atasamehe usaliti wa mkewe
Umeona mkuu halafu eti malaya anakuja kujiliza akikwambia shetani alimpitia au ilikuwa bahati mbaya🤣Ila number nne
Uko sahihiSababu yangu ni Moja tu.
Mungu kasema usimuache Mwanamke mzinzi na mchawi kuishi.
NI zaid ya kusikitisha, inaumiza sana. Nafikiri mapenz watu hawatakiwi kuwa serious sana maana unaweza ikafa bure tuInasikitisha sana