Beer ni ROCK mimi ni ROLL wana wa long time ago,nasikia hata peponi kuna mvinyo hapo ndipo napata hamasa ya kwenda huko.
🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺.
Hahahaaa... Duniani mvinyo Haramu Mbinguni mvinyo Halali Duuuhhh
Ahsante kwa hii taarifa murua... Ngoja nikasalimiane na mpenzi wangu Guinness!!
Serengeti moja baridi tafadhali