Sababu 10 za kuwachukia madaktari

...nashukuru kwa shule
 
hivi ule ugomvi wenu na yule dokta kisonso bado haujaisha?

ila alichokufanyia yule dokta sio kabisa hatawezaje kumla kiboga demu wako alafu hajisifu
 
Huu uzi umenifanya nijisikie vibaya sana;
Sina chuki na daktari yeyote ambaye nilishawahi
kukutana naye.

Nawaamini na kuwapenda pia;

........... Aise sijui ni kwanini natamani hata nilie.
usilie sisi kuanzia kwa wiki lazima tukutane na watu kama hawa wawili....unaweza kuta mtu mwingine kaja hosp....anaanzisha shari nini....lakini sasa pia naanza kupata picha....kuanzia zile kashfa za global publisher za kumimic appendicitis na ...vitu kama hivi.....mi iliyonisikitishs ni hiyo kwamaba wengi maskini....ni kweli....
 
Hawa jamaa wanaringa sana japo sio wote...waliopo hospitali za serikali mimi nawachukia sana ila kwa wale wa private big up..
 
......vifaa vya kutosha vipo eeehe na mzingira ya hospitali na vyuo vya medicine ni mazuri eehe...? haya bana wewe mjanja sana
 

Ukikua utaacha
 
wengi huwa mnasema hivyo...sijui kwa nini nimefanya nao kazi nawajua......maisha ni magumu...lakini mimi nmekaa muhimbili sijawahi kuona dr maskini....au umaskini definition yake ninini..?
 
...aisee tunasubiri ushaidi....
maana unaonekana mjanja wewe sio pimbi wala kima
 
Hakuna asie na matatizo na madaktari nao ni watu vilevile ila mada yako umeileta kichuki sana!
...ni kweli kabisa....hasa hili la umaskini na Africa yetu hii....Africa nani ambaye sio maskini...!
 

hivi wewe una ubongo au kinyesi? Mods futeni huu tafadhali
 
Kuna Dr alimfanyia operation mke wangu,aisee alimsumbua kisa kaona uchi wake anataka ampe ndizi nyama.usumbufu umeondoka baada ya Dr kuhamishiwa mkoani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…