Sio kwa sifa alizonazo.Nadhani point ni kuamini hivyo ni suala la sababu za kuamini, kama ingekuwa ni issue ya uthibitisho basi nadhani Mungu mwenyewe angefanya kila mtu amjue pasina shaka na hivyo kusingekuwa na wanaomkana na kutafuta uthibitisho.
Kwahiyo ni sahihi kusema hauamini Mungu kwa kuwa hauoni sababu za kuamini uwepo wake au hauoni nafasi ya Mungu kiasi cha kukufanya uamini kuwepo huyo Mungu, lakini haileti maana kusema et hakuna Mungu kwa sababu hakuna uthibitisho hasa ukizingatia pia kuwa uthibitisho haufanyi jambo liwepo au lisiwepo ndio maana unaweza ukashuhudia jambo kabisa ila ukakosa ushahidi wa kuthibitisha ulichokishuhudia.
Ndio maana nikasema kutokana na hizo sifa alizonazo basi angeweza kumfanya kila mtu amjue kusingekuwa na kuulizana uthibitisho, na ndio maana nasema kuwa kwenye suala la Mungu lengo ni ile imani yako kwamba kukubali kuamini kuwepo kitu ambacho hakijawahi kuonekana na ndio kwahiyo ni suala la mtu kuona sababu za kukubali kuwepo huyo Mungu au kutokuona sababu na dalili kuamini huyo Mungu.Sio kwa sifa alizonazo.
Kwanini asifanye hivyo..?Ndio maana nikasema kutokana na hizo sifa alizonazo basi angeweza kumfanya kila mtu amjue kusingekuwa na kuulizana uthibitisho, na ndio maana nasema kuwa kwenye suala la Mungu lengo ni ile imani yako kwamba kukubali kuamini kuwepo kitu ambacho hakijawahi kuonekana na ndio kwahiyo ni suala la mtu kuona sababu za kukubali kuwepo huyo Mungu au kutokuona sababu na dalili kuamini huyo Mungu.
Kwa iyo Mungu unayemuamini inategemea na aliyekwambia!?Lazima uambiwe kwa sababu Imani huja kwa kusikia,.
Huwezi kumjua Mungu moja kwa moja sababu ya asili ya dhambi tuliyonayo, inayotumiwa na shetani kutuvuta kwake.
Inaonesha kuwa lengo lilikuwa ni huku kuamua kukubali kwa hiari yako uwepo wake hali ya kuwa haonekani, yani uamini uwepo wake na kufuata maagizo yake. Hilo ndio jambo kubwa ndio maana baadhi ya mafundisho imani yanaeleza kuwepo kwa ujira huko baadaye kwa wale ambao walikubali kuamini. Ndio maana huwa napenda kusema kwamba suala la uwepo wa Mungu ni jambo la imani na watu huwa hawaamini jambo kwa sababu wana uthibitisho.Kwanini asifanye hivyo..?
Ukishaanza na neno 'inaonesha' ina maanisha ni mtazamo wako binafsi na kama ishu ni mtazamo basi kila mmoja ana mtizamo wakeInaonesha kuwa lengo lilikuwa ni huku kuamua kukubali kwa hiari yako uwepo wake hali ya kuwa haonekani, yani uamini uwepo wake na kufuata maagizo yake. Hilo ndio jambo kubwa ndio maana baadhi ya mafundisho imani yanaeleza kuwepo kwa ujira huko baadaye kwa wale ambao walikubali kuamini. Ndio maana huwa napenda kusema kwamba suala la uwepo wa Mungu ni jambo la imani na watu huwa hawaamini jambo kwa sababu wana uthibitisho.
Hizi imani ni changamoto sana. Wakristo wanaamini kuoa mke mmoja so ukiwa na wengi huendi peponi. Waislam wanaamini kuoa wake 4 so ukiwa na mke zaidi ya mmoja sio dhambi. Hivi mababu zetu waliokua na wake wengi wote wameishia peponi? vipi wakina Ibrahim,Mfalme suleiman waliokua na wake wengi na bado wakatumiwa na Mungu kama tunavyoambiwa wapo peponi na wao au motoni? Hizi imani za kuambiwa na kuadithiwa ni mbaya sanaKwanini ili umjue Mungu mpaka usimuliwe/uambiwe!?
Kwanini isiwe moja kwa moja unazaliwa na kumjua mungu bila kuambiwa,yani kama kupumua vile!?
Ukiambiwa na muislamu, unakuwa muislamu
Ukiambiwa na mkristo, unakuwa mkristo
Na kila Mungu ana story yake,vigezo na masharti navyo tofauti
Vitabu vya Mungu ni ramani. Na ramani unaifahamu ukiifuata hautapotea usipoifuata utapotea.Mungu ni mnafiki sana,
Yaani jehanamu aliiweka mwenyewe na malengo yake yakiwa ni "lazima achome watu humo"
Halafu huku anakuja kutoa maneno "tam tam" eti yeye ni "mwenye upendo sana."
Kumbe mshenzi fulani.
N hivi VITISHO ndio vinavyotumika kuaminisha watu zaidiInatakiwa umuaminishe asieamini mkuu, sasa mtu anaamini unamuaminisha nini sasa??
Na ndio maana hata Yesu alikuja kwa ajili ya wenye dhambi na sio wasio na dhambi.
Unaposema unawaaminisha wanaoamini huko ni kumkalilisha mtu na kutotaka kumpa mawazo huru, ajikite kwako tu. Wewe lenga wale wasioamini mpeane machallenge huko sio unawakwepa kwa kuogopa maswali konki.
Mkiulizwa mnaanza ooh ukiamini sijui blah blah gani huko, usitake mtu aamini kwa vitisho tu, MUAMINISHE.
El Olam "God of Eternity"
Hana mwanzo wala mwisho. Hapimwi kwa muda, muda umeubwa na yy.
Mkiulizwa mnaanza ooh ukiamini sijui blah blah gani huko, usitake mtu aamini kwa vitisho tu, MUAMINISHE.
Hivi umesoma kilichoandikwa kweli nduguHakuna uthibitisho bado...
Sasa kwanini bindadamu atupwe motoniRehemaaaa!!!!!!,
Mungu hakuumba kuzimu kwa mwanadamu, kuzimu iliumbwa kwa ajili ya shetani na malaika zake..
Ulijuaje hana mwanzo wala mwisho habari za mungu wa kiyahudi zimetokea miaka 4000 iliyopita. kuja miungu ya nyuma yake utaiweka kundi ganiEl Olam "God of Eternity"
Hana mwanzo wala mwisho. Hapimwi kwa muda, muda umeubwa na yy.