Sababu 10 Kuamini Mungu Yupo

Sababu 10 Kuamini Mungu Yupo

Nadhani point ni kuamini hivyo ni suala la sababu za kuamini, kama ingekuwa ni issue ya uthibitisho basi nadhani Mungu mwenyewe angefanya kila mtu amjue pasina shaka na hivyo kusingekuwa na wanaomkana na kutafuta uthibitisho.

Kwahiyo ni sahihi kusema hauamini Mungu kwa kuwa hauoni sababu za kuamini uwepo wake au hauoni nafasi ya Mungu kiasi cha kukufanya uamini kuwepo huyo Mungu, lakini haileti maana kusema et hakuna Mungu kwa sababu hakuna uthibitisho hasa ukizingatia pia kuwa uthibitisho haufanyi jambo liwepo au lisiwepo ndio maana unaweza ukashuhudia jambo kabisa ila ukakosa ushahidi wa kuthibitisha ulichokishuhudia.
Sio kwa sifa alizonazo.
 
Sio kwa sifa alizonazo.
Ndio maana nikasema kutokana na hizo sifa alizonazo basi angeweza kumfanya kila mtu amjue kusingekuwa na kuulizana uthibitisho, na ndio maana nasema kuwa kwenye suala la Mungu lengo ni ile imani yako kwamba kukubali kuamini kuwepo kitu ambacho hakijawahi kuonekana na ndio kwahiyo ni suala la mtu kuona sababu za kukubali kuwepo huyo Mungu au kutokuona sababu na dalili kuamini huyo Mungu.
 
Kwanini asifanye hivyo..?
 
Naamin haya maisha yana mwanzilishi (Mungu) lakini Stori znazosimuliwa kumuhusu zinashindwa kuconnect. Either wanaozisimulia hawakuzielewa au wanapotosha kwa makusudi. Naamin tunachosimuliwa ni kidogo sana kulingana na uhalisia wake, ndomana imekua ngum sana kiziunganisha.
 
BINAFSI HAFI LEO NAAMINI MUNGU YUPO ILA HANA SIFA ZINAZOELEZEWA NA MWANADAM KWA NAMNA YAKE! HATA MAKANDO KANDO YAKE SIYAAMINI KWA KILA NUKTA! niko hapo. Mchambuz nimefurahi namna yako ya kujenga hoja, ni ya upevu wa hali ya juu.
 
Kwanini asifanye hivyo..?
Inaonesha kuwa lengo lilikuwa ni huku kuamua kukubali kwa hiari yako uwepo wake hali ya kuwa haonekani, yani uamini uwepo wake na kufuata maagizo yake. Hilo ndio jambo kubwa ndio maana baadhi ya mafundisho imani yanaeleza kuwepo kwa ujira huko baadaye kwa wale ambao walikubali kuamini. Ndio maana huwa napenda kusema kwamba suala la uwepo wa Mungu ni jambo la imani na watu huwa hawaamini jambo kwa sababu wana uthibitisho.
 
Ukishaanza na neno 'inaonesha' ina maanisha ni mtazamo wako binafsi na kama ishu ni mtazamo basi kila mmoja ana mtizamo wake
 
Kwanini ili umjue Mungu mpaka usimuliwe/uambiwe!?

Kwanini isiwe moja kwa moja unazaliwa na kumjua mungu bila kuambiwa,yani kama kupumua vile!?

Ukiambiwa na muislamu, unakuwa muislamu
Ukiambiwa na mkristo, unakuwa mkristo

Na kila Mungu ana story yake,vigezo na masharti navyo tofauti
Hizi imani ni changamoto sana. Wakristo wanaamini kuoa mke mmoja so ukiwa na wengi huendi peponi. Waislam wanaamini kuoa wake 4 so ukiwa na mke zaidi ya mmoja sio dhambi. Hivi mababu zetu waliokua na wake wengi wote wameishia peponi? vipi wakina Ibrahim,Mfalme suleiman waliokua na wake wengi na bado wakatumiwa na Mungu kama tunavyoambiwa wapo peponi na wao au motoni? Hizi imani za kuambiwa na kuadithiwa ni mbaya sana
 
Hata kifo cha jiwe ni sababu tooshaaaa kabisa kuamini Mungu yupo na anaishi milele na milele aaaaaamiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiin
 
Mungu ni mnafiki sana,
Yaani jehanamu aliiweka mwenyewe na malengo yake yakiwa ni "lazima achome watu humo"
Halafu huku anakuja kutoa maneno "tam tam" eti yeye ni "mwenye upendo sana."

Kumbe mshenzi fulani.
Vitabu vya Mungu ni ramani. Na ramani unaifahamu ukiifuata hautapotea usipoifuata utapotea.

Unafiki wa huyu aliyekupatia ramani uko wapi hali ya kuwa maamuzi ni ya kwako?
 
Inatakiwa umuaminishe asieamini mkuu, sasa mtu anaamini unamuaminisha nini sasa??

Na ndio maana hata Yesu alikuja kwa ajili ya wenye dhambi na sio wasio na dhambi.

Unaposema unawaaminisha wanaoamini huko ni kumkalilisha mtu na kutotaka kumpa mawazo huru, ajikite kwako tu. Wewe lenga wale wasioamini mpeane machallenge huko sio unawakwepa kwa kuogopa maswali konki.

Mkiulizwa mnaanza ooh ukiamini sijui blah blah gani huko, usitake mtu aamini kwa vitisho tu, MUAMINISHE.
 
N hivi VITISHO ndio vinavyotumika kuaminisha watu zaidi
 
Mkiulizwa mnaanza ooh ukiamini sijui blah blah gani huko, usitake mtu aamini kwa vitisho tu, MUAMINISHE.

Bila vitisho huwa hakuna hoja za msingi...lazima hizi mada mtu waku attack personal ili wakuvunje nguvu ya kuhoji...

Lazima utasikia vitu kama ukifa utajua, ukipata matatizo utajua, ukichomwa ndio utaelewa, ngoja siku moja utakipata cha moto ndio utajua, unakufuru, umechanganyikiwa, wewe nani aliikuumba, nguvu za dunia unajua zinatoka wapi, ili uelewe lazima uongozwe na roho mtakatifu n.k.

Infact Imani ni jambo gumu sana,, hasa hizi Dini tulizoletewa...tukiambiwa Mungu ni mmoja ilihali kila dini ina different stories
 
mungu huyu anayezungumziwa ni yupi, huyu anayeamrisha watu wakauwachukue watu mateka, anayesema mwanamke si kitu au huyu asiyekua kuwa dunia ni tufe
 
El Olam "God of Eternity"
Hana mwanzo wala mwisho. Hapimwi kwa muda, muda umeubwa na yy.
Ulijuaje hana mwanzo wala mwisho habari za mungu wa kiyahudi zimetokea miaka 4000 iliyopita. kuja miungu ya nyuma yake utaiweka kundi gani
 
nimesoma comment zote bira kukuta ya kiranga huu uzi n feki
 
Back
Top Bottom