Sababu 10 Kuamini Mungu Yupo

Duuuu kwahiyo Ndio Mungu kakutuma uje umthibitishe kua yupo?

Mpe salamu Mwambie aje mwenyewe ajithibitishe kwangu nje ya hapo atapingwa Sana!
 
Na yeye Mungu alitoka wapi...????

twende taratibu bro, nijuze hilo simple question.
Mungu hana mwanzo mkuu,alikuwepo,yupo na ataendelea kuwepo.He calls Himself Niko ambaye Niko,also Mwanzo na Mwisho:Alpha and Omega.What does this tell you,God is so complex,that our simple minds cannot understand him!It is to thus safe to be satisfied with how God has revealed Himself.
 
Naona logical fallacies na assumption nduo zime shamili kwenye mada yako

Hizo unazoziita sababu, basically ni wishfully thinking tu
Hutaki kumuamini Mungu,you have your pre-conceived ideas,that is the baseline.If that is the case,you will not believe anything,however smart it might be.Mkuu believe what you have choosen to believe.
 
Mungu ni mnafiki sana,
Yaani jehanamu aliiweka mwenyewe na malengo yake yakiwa ni "lazima achome watu humo"
Halafu huku anakuja kutoa maneno "tam tam" eti yeye ni "mwenye upendo sana."

Kumbe mshenzi fulani.
Rehemaaaa!!!!!!,
Mungu hakuumba kuzimu kwa mwanadamu, kuzimu iliumbwa kwa ajili ya shetani na malaika zake..
 
Lazima uambiwe kwa sababu Imani huja kwa kusikia,.

Huwezi kumjua Mungu moja kwa moja sababu ya asili ya dhambi tuliyonayo, inayotumiwa na shetani kutuvuta kwake.
 
Lazima uambiwe kwa sababu Imani huja kwa kusikia,.

Huwezi kumjua Mungu moja kwa moja sababu ya asili ya dhambi tuliyonayo, inayotumiwa na shetani kutuvuta kwake.
 
Mungu ni nini?
 
Nishawah kuandika Uzi qenye title kama hii
Lakini vijana was mello wakapita nao
Sijui niliwatonesha kidondah
 
Naona logical fallacies na assumption nduo zime shamili kwenye mada yako

Hizo unazoziita sababu, basically ni wishfully thinking tu
Nimeshasema,kama mtu hutaki kuamini kwamba Mungu yupo,una pre-conceived ideas zako,hata ukapewa logic na smart ideas za vipi huta-amini.So Hakuna matata,believe what you want.Mimi nina-chojaribu kufanya ni kukusaidia tu umuamini Mungu wa kweli.Infact I dare say,ni mtumishi nisiye na faida.
 
Acha kelele thibitisha kilichopo ili tusije tena na mashaka ya kutokujua yupo au hayupo!
Nadhani point ni kuamini hivyo ni suala la sababu za kuamini, kama ingekuwa ni issue ya uthibitisho basi nadhani Mungu mwenyewe angefanya kila mtu amjue pasina shaka na hivyo kusingekuwa na wanaomkana na kutafuta uthibitisho.

Kwahiyo ni sahihi kusema hauamini Mungu kwa kuwa hauoni sababu za kuamini uwepo wake au hauoni nafasi ya Mungu kiasi cha kukufanya uamini kuwepo huyo Mungu, lakini haileti maana kusema et hakuna Mungu kwa sababu hakuna uthibitisho hasa ukizingatia pia kuwa uthibitisho haufanyi jambo liwepo au lisiwepo ndio maana unaweza ukashuhudia jambo kabisa ila ukakosa ushahidi wa kuthibitisha ulichokishuhudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…